live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 792
- 1,267
Kwa Sasa watanzania wanaishi kama digidigi hawana kabisa furaha na nchi Yao kutokana na mambo yafuatayo
UMEME
Kwa Sasa hichi ndio kilio kikubwa Kwa wananchi watu ambao shughuli zao za kuingiza kipato ndio wanahali mbaya sana kama vinyozi , mafundi welding na wengine wengi
VITU KUPANDA BEI
Hivi Sasa Kila kitu bei ipo juu nauri, vyakula na mafuta
HUDUMA MBOVU HOSPITAL
Kila siku watu wanalalamika kuhusu huduma za hospital
HUDUMA MBOVU KUTOKA KWA WATUMISHI WA UMMA
Hivi Sasa Watumishi wa umma ukiingia ofisini kwao wanakuona. kama kikaragosi