Kwa sasa kila mtu amiliki bastola/bunduki yake

Kwa sasa kila mtu amiliki bastola/bunduki yake

Alibino

Senior Member
Joined
Jul 1, 2016
Posts
150
Reaction score
334
Mambo vipi Wana jamii?
Iko hivi kutokana na ubishani unaoendelea juu ya usalama wa raia na mali zake jeshi la polisi limeweza kuonesha uzaifu mkubwa sana wa kulinda raia na mali zao hivyo basi kila raia atafute bunduki yake ama bastola awe nayo ni wakati wa kila Mmoja kulinda usalama wake na mali zake
 
Back
Top Bottom