Kwa sasa Chadema na upinzani unamuhitaji Zitto

Chifyono

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2017
Posts
921
Reaction score
1,664
wakuu

Hali ya upinzani si nzuri kwa sasa hapa nchini, ni wazi wanahitaji mtu kaliba ya Zitto Kabwe

Chadema hakina watu wenye nguvu ya kuweza kuitikisa na kuiangusha serikali hii iwapo tu watajitenga na Zitto

Ni muda muafaka, Mbowe na wanachadema wote mkubali mlifanya makosa na muombee msamaha kwa Zitto kabwe, naamini alishasamehe hivyo muunganishe nguvu kiongozi awe Zitto kuiondoa serikali hii dhalimu madarakani 2020

Kuiondoa ccm inawezekana, Zitto ndio kila kitu kwa sasa tumuunge mkono
 
Kwenye siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu. Kwa sasa wote wanahitajiana. Kwa hali ya kisiasa iliyopo nchini, nguvu ya pamoja ni lazima.
 
wakuu

Hali ya upinzani si nzuri kwa sasa hapa nchini, ni wazi wanahitaji mtu kaliba ya Zitto Kabwe

Chadema hakina watu wenye nguvu ya kuweza kuitikisa na kuiangusha serikali hii iwapo tu watajitenga na Zitto

Ni muda muafaka, Mbowe na wanachadema wote mkubali mlifanya makosa na muombee msamaha kwa Zitto kabwe, naamini alishasamehe hivyo muunganishe nguvu kiongozi awe Zitto kuiondoa serikali hii dhalimu madarakani 2020

Kuiondoa ccm inawezekana, Zitto ndio kila kitu kwa sasa tumuunge mkono
Shida yako ni zitto kuongoza upinzani au upinzani kuunda serikali? Maana mahaba yako binafsi kwa zitto, yanakufanya ukose hoja kabisa!
 
Hoja umeielewa ila umejitoa ufahamu tu

Zitto awaongoze akina Mbowe katika harakati za kuiondoa ccm
 
Back
Top Bottom