Kwa Same soko la tangawizi liko wapi na bei gani?

Tangawizi nyingi sahvi ililimwa sehemu za songea na walikuwa wanategemea kuvuna kwa wingi

Ova
 
Yeah niliona madaba,nilishangaa kupata tangawizi kifuko kizima(mifuko laini) kwa Tsh 1000,nilizoea kupata 2 kwa hiyo 1000
 
Sahivi wamelima kwa wingi sema soko sasa

Ova
 
Back
Top Bottom