Kwa sababu za msingi!!


KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
10,958
Points
2,000
KakaKiiza

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
10,958 2,000
Hivi Tanzania ni Rafiki wa nchi gani za Africa na Nje ya Africa? enzi ya Nyerere tuliona Mozambique,Zambia, Namibia, Ghana, Zimbabwe, Shelisheli, Algeria na Botswana Nje ya Africa, Pakstan, Cuba, Venezuela, China, Urusi hiyo siyo ya sasa,

Na zaidi namaanisha urafiki wa nchi siyo urafiki wa nchi katika biashara!!ila katika tawala za baada ya Nyerere ni meshindwa kuelewa rafiki wa nchi yangu!
 
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,014
Points
1,500
TANMO

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,014 1,500
Hivi urafiki kati ya nchi na nchi unachangiwa na Ushikaji wa Marais wa nchi husika?
Kwa mfano JK na Zuma ni washikaji sana, hivyo nadhani S.A ni marafiki zetu.
Pia J.K na Obama inasemekana ni Washikaji, labda U.S ni marafiki zetu pia.
J.K na Hu Jin Tao ni maswahiba, huyu wa sasa sijui kama Jin Tao amemkutanisha na J.K,,,,:confused2::confused2:

All in all urafiki mkubwa uliopo ni wa Kimaslahi, nadhani hata enzi za Nyerere tulikuwa marafiki na nchi ulizotaja for the sake of something, aidha kutoka kwetu ama kutoka kwao.
 
chelsea fc

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
834
Points
225
Age
43
chelsea fc

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
834 225
Rafiki wa tanzania ni visiwa vya shelisheli yule raisi nani sijui aliyesababisha mpk nyama imepanda bei,na lethoto kwa mfalme mswati,mzee wa ......
 

Forum statistics

Threads 1,295,830
Members 498,409
Posts 31,224,622
Top