nikimuonaga tu roho mtakatifu hunijaaa
we selasi aaai,so lady furaha sija kebei namaanisha kwani we roho mtakatifu unae mzania labda sio huyo wangu.[samani kama ntakuwa nimekukwanza]na naomba uniepulie hayo makaa maana naogopa kuunguaacha kukebehi na kulitamka jina la Mungu bure hapa jf huoni utapigika wewe jua dhambi ya kukashifu RM haisameheki kamwe umejipalia makaa