Manyerere Jackton
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 2,438
- 4,463
- Thread starter
-
- #21
Huu uzi ushaharibiwa na Mkeshaji, THE GREAT CAMP,
na mwanzisha uzi Manyerere Jackton bila kujua kaingia kwenye mtego wa kuharibu thread yake.
Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.
Anaambiwa halafu anaanza kutukana watu. Hivi inakuwaje mwandishi wa habari we kila thread yako ni mistari miwili ikizidi mitatu. Ndani hamna kitu.Mkuu niko peke yangu na laptop yangu lakini nimecheka sana.
Tatizo lako umekaa kichama zaidi sema hivi kwa katiba vyama vya siasa vyote vinachangamoto make mtu ataweza kujitathimini akiona anapendwa atakwenda kugombea yeye kama yeye kama yeye bila kutegemea chama.Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.
Sijui wengine mna mtazamo gani.
Sijaona point yako hapa. Tanzania ina zaidi ya vyama vya siasa vilivyopata usajiri wa kudumu zaidi ya 17. Hao watu ambao hawakutaka kuchomoka na walikaa humo CCM wakati hawapendi yanayoendelea kwangu ninawaona ni WANAFIKI na wanatanguliza MATUMBO YAO.Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.
Sijui wengine mna mtazamo gani.
Mkuu mi nitafute huruma ya nini. Bahati nzuri si peke yangu niliyeona hicho ninachokwambia. Soma posti zote halafu uone watu wangapi wameona kitu hicho hicho.Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.
Kujipanga kwa CCM?Mabadiliko makubwa yanayofanyika sasa yanaweza pia kuikoa CCM. CCM itakuwa na fursa ya kujipanga upya badala ya kila siku kufanya siasa za kushindana na upepo wa mageuzi.
Wadau, wale tuliofuatilia vema Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Warioba, ni wazi kwamba kwa mapendekezo ya rasimu, CCM inakufa. Kuruhusu wagombea binafsi kuanzia Kitongoji hadi Taifa, kunatoa mwanya kwa wanaCCM wengi wasiopenda yanayoendelea ndani ya chama hicho, wawe huru kuamua pa kwenda. Aidha, mapendekezo haya ya Katiba mpya yanaleta utaifa zaidi ya u-chama. Sioni CCM watachomoka vipi.
Sijui wengine mna mtazamo gani.
Usitafute huruma hapa! Jadili hoja. Nimesema kwa rasimu hii, kama tutapata Katiba mpya kwa mapendekezo yaliyomo, CCM itakuwa inakabiliwa na kifo. Kama una maoni tofauti, yaweke hapa. kashfa na vijembe si mambo ya waungwana.
Haya majibu ni kwa malebarali tu!
Wewe umeshaisoma hiyo rasimu na kufanya analysis ya kila kipengele?
Kama umeisoma yote basi tugawie nakala yake ili na sisi tuisome na kuifanyia a comprehensive analysis.