Nchi inaenda kwa PGO tu.Wala majigambo,vitisho,kutekana na uporaji yaani mambo ni ♨️♨️🔥🔥..
Hivi 2025 nani atagombea nae? Gaidi Mbowe, Gwajiboy au yule mke wa Amsterdam?
Si tutakuwa tunaharibu pesa za walipakodi wakati mshindi anajulikana?
Endelea kutaka mkuuTunataka Tume mpya ya Uchaguzi na Katiba mpya,muhimu ni Tume huru ya Uchaguzi kwanza.
Wakishirikiana kwa karibu na timu legacy 😆😆Ngoja timu gaidi waje
Uvccm lugha gongana. sijui mmedhulumiana huko.Wakishirikiana kwa karibu na timu legacy 😆😆
nje ya hapo ni porojo tuTunataka Tume mpya ya Uchaguzi na Katiba mpya,muhimu ni Tume huru ya Uchaguzi kwanza.
Ukweli unakawaida ya kutuma kama 💉💉💉💉Acha uzumbukuku weye
Uvccm lugha gongana. sijui mmedhulumiana huko.
Hakuna anaetamani kelele za kila kona tena, hata ukinunua kijiko cha kukorogea chai unataka lazima mama na watoto wote wakupigie makofi hadi mikono iote malengelenge wakati ni kazi yako.Uvccm lugha gongana. sijui mmedhulumiana huko.
😆😆Hakuna anaetamani kelele za kila kona tena, hata ukinunua kijiko cha kukorogea chai unataka lazima mama na watoto wote wakupigie makofi hadi mikono iote malengelenge wakati ni kazi yako.
Kinachoshangaza ni kujaribu kumpaisha mama kwa kuwashusha wengine.Hakuna anaetamani kelele za kila kona tena, hata ukinunua kijiko cha kukorogea chai unataka lazima mama na watoto wote wakupigie makofi hadi mikono iote malengelenge wakati ni kazi yako.
Tume mpya haiji bila katiba mpya. Ukawa walikwamisha ujio wa tume mpya kwa kukwamisha mchakato wa katiba mpya kwa sababu za kipuuzi kabisa za kung'ang'ania Muungano wa Mkataba sijui wa serikali 3 sijui nini. Jamani Muungano huu ni kama jina lako, kama wazazi wako walikosea wakakuita Nyani basi walikosea kwa niaba yako.Tunataka Tume mpya ya Uchaguzi na Katiba mpya,muhimu ni Tume huru ya Uchaguzi kwanza.
Vibahasha gani mkuu,hata huko Lumumba sijawahi fika,mimi ni mzalendo tuu namkubali mama na Kwa hiyo Niko tayari kutangaza mafanikio yake.Naona Team Lumumba mnafanyia kazi vibahasha vya khaki!
Mie siteseki ila mwanaume lazma ujifunze kubalance shoboVibahasha gani mkuu,hata huko Lumumba sijawahi fika,mimi ni mzalendo tuu namkubali mama na Kwa hiyo Niko tayari kutangaza mafanikio yake.
Kwani wewe unapenda uongo na kuporwa pesa? Kwani hayo mafanikio huyaoni?
Au mkuu na wewe unateseka mama akisifiwa anapostahili?
Mimi sitaki kumbughudhi mama,,mama anatosha hadi anazidi ,tuko nae hadi 2050.Atagombea na wewe. Ukishakuwa uchaguzi huru na wa haki utashinda.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app