Kwa Rais Magufuli tu - Must Read 2017

Mie nadhani mngemshauri mbowe kwamba kama upinzani tunatokaje hapa....mh rais hukumpigia kura hivyo achana naye.
 
Watumishi stahiki zao wamelipwa? Malimbikizo yao yamelipwa?
2020 iyoo
Tume huru ya uchaguzi Tanzania idaiwe
 
No Research No Right To Speak, Huo Utafiti Wako Wa 70% Ya Watumishi Kumchukia JPM umeitoa wp? what was your sample size?

kwa kawaida huwa sijibu maswali kama hili lako, lakini kwa sababu fulani hivi nikujibu ifuatavyo na sitarudia tena;

Unajua kabisa kuwa jibu sahihi la swali lako si zuri kwa hali iliyopo sasa. Kukusadia zaidi endapo una kipaji cha kuchelewa kuelewa ni kuwa umeuliza swali ambalo jibu lake ni siri.

Take this;

You may test your limits while training for something of vital significance but never try the same when in the midst of starting an unnecessary war. If history is considered a good teacher to you 'Bayyo', then it reminds us always that sometimes loosing is winning, small is big, quiting is landing, slaving is mastering and wars never have must be winners(should be fought only when absolutely necessary).
 
Naomba namba ya JPM nijitoe mhanga nimfowadie haka ka walaka kazito sana, au nipe email take maana mimi sina cha kupoteza iwe milioni saba, kifungo au vyote viwili.
Mpelekee tweeter kama uko serious....
 
Mie nadhani mngemshauri mbowe kwamba kama upinzani tunatokaje hapa....mh rais hukumpigia kura hivyo achana naye.

Kwa nini Mbowe!?

Tafadhali jiulize kwanza sana kabla ya kujibu hili swali. Vinginevyo achana nalo na ulichukulie kama ni jibu la 'comment' yako. Uamuzi ni wako.
 
Yaaani point ipo pale kwenye Solution tuu!

Kusikiliza ushauri wa wasaidizi wake...likini pia sio kila ushauri ni wa kusikiliza..


Huko kwingine umeendika upuuzi tuu!

Yaani eti aachie wapiga deal ili 2020 ashinde? [emoji41][emoji41][emoji41]
1. Yale mambo ya flow metre feki kule bandarini yaendelee?

2.Makontena 3000 yapotee tena?
3. Tuendelee kuwa na wakuu wa idara watemi? Wasiokuwa na nidhamu?
4. Aruhusu madawa ya kulevya yaendelee kupitishwa pale airport?

5. Aruhusu tembo waendelee kuuwawa?

6. Aruhusu wale jamaa wa 7milion kwa dakika waendelee na biashara yao...

Mkuu kama umetumwa na wapiga deal wenzako kawaambie karata yenu imemangwa...

Sisi walalahoi tunampenda magufuli hivyo hivyo alivyo!

Magufuli nyooosha mbele kwa mbele.
 

huyu jamaa alipotea siku ile alipompeleka yule mama kuwa spika. wengi tuliokuwa na imani naye tukakata tamaa.

kilichofuata. kilikuwa ni kituko eti watuhumiwa wa ufisadi wakateuliwa kuwa wenyeviti wa kamati za bunge.
akaendelea kuchemka akazima binge livu.

akavunja tatatibu za utumishi wa umma kwa kuteua makada.

kwaatukio yote naengineengi ya hpvyo sidhani ka atatoboa 2020
 

Stori za vijiweni ndio wananchi wenyewe sasa,ulitegemea wananchi wapo wapi?Maofisi ya wizara au ikulu?

True reflective walau relatively unaipata mtaani na mtaani maana yake ni vijiweni,do not underestimate vijiweni...

Mtizamo wako wa kizamani na wa kikoloni hasa wa kudharau reflections zinazotoka vijiweni ni mtizamo wa kibwege mno,uache.
 
Hayo unayoyasema ni kwa mujibu wa idara(ofisi) yenu lakini watumishi wengi wanamchukia na ndiyo maana mamvi alisema "utumishi wa umma umekua kaa la moto"
 

Dahh!!umenifungua macho mkuu..ila ninawaswasi wasije wakaenda kumbana tena kijana wa watu atoe siri ya jina lako halisi..hataki ushauri hyu mtu jaman sijui kwanini.wengi watamchekea na kumpigia makofi mengi lkin kiuhalisia wanachuki kali sana na Maguful
 
Hii kwangu mimi ni post bora ya mwaka....naomba inawezekana pia iingizwe kwenye kinyanganyiro cha kugombea post bora ya karne .
Najua washauri wa mkulu kumwamo wanasoma ila kwa hofu ya kuhofia kutumbuliwa hawatamuambia. ..MUNGU AKAUFANYA MOYO WE FARAO HUWA MGUMU ILI AJITWALIE UTUKUFU NA KUDHIHIRISHA UKUU WAKE KWA MAPIGO ATAKAYOWAPA WA MISRI.
 
Hakika hii post ni post ya akili kubwa.
 
Hata wewe pia unaweza kuwa unajidanganya hapo unapofanya kazi. Kiukweli huyu mleta uzi amegusia mambo muhimu kwa huyu mkuu wa nchi yetu. Ni muhimu akawasikiliza washauri bora na sio bora washauri.
Hii nchi ipo hivi siyo kwa sababu ya watu wabaya bali ya watu ambao wanayaona mabaya but hawayasemi. Hivi nusu tu ya watz tukipaza sauti zetu hatasikia?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…