Wakuu naombeni msaada wenu nimechaguliwa course ya political science and public administration university of Dar es Salaam.Naombeni kufahamu kuhusu hiyo course na mengine mengi kuhusu udsm.Pia wale ambao tumechguliwa PsPa wote pale naomba tufahamiane.Nawasilisha
Demu wangu alikua anaisoma hyo,kahitimu mwaka huu.sema nin,ukifika mwaka wa pili kuna specialization kati ya international relation,public administration na politics.so ni wewe mwenyewe unataka kuwa upande gani.kwa maelezo zaidi nitafute PM.

Ni coz nzuri na mdau hapo juu anachosema ni sawa pspa mwaka wa kwanza mnasoma political sc in general but kuanzia mwaka wa Pili una option ya kujikita ama kwenye international relation au public administration changamoto ya coz hii ni soko LA ajira ila hilo lisikukatishe tamaa zaidi maana mpka unachagua coz hiyo bila shaka ulikuwa ulirizika nayo na kuipenda