Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,340 Reaction score 11,085 Sep 6, 2021 #2 Safi sana inavutia wengi hawajui kufunga tai japo wanavaa!
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,285 Sep 6, 2021 #3 Haha nishawahi kufunga tai kiajabu saana yaani watu walicheka sema jamaa mmoja akanipa step hizo za kwanza
Haha nishawahi kufunga tai kiajabu saana yaani watu walicheka sema jamaa mmoja akanipa step hizo za kwanza
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Sep 6, 2021 #4 Nina miaka zaidi ya kumi toka nimevaa tai kwa mara ya Mwisho.
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,025 Reaction score 1,708 Sep 7, 2021 #5 Nakumbuka nilikua nafwata darasani ili niwafungie tie
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,081 Sep 8, 2021 #6 Mara ya mwisho kufunga na kuvaa tai nafikiri ilikuwa 1998/1999