Dumas the terrible JF-Expert Member Joined Jan 20, 2021 Posts 5,450 Reaction score 11,329 Sep 6, 2021 #2 Safi sana inavutia wengi hawajui kufunga tai japo wanavaa!
Theb JF-Expert Member Joined Jan 25, 2019 Posts 3,927 Reaction score 7,287 Sep 6, 2021 #3 Haha nishawahi kufunga tai kiajabu saana yaani watu walicheka sema jamaa mmoja akanipa step hizo za kwanza [emoji23]
Haha nishawahi kufunga tai kiajabu saana yaani watu walicheka sema jamaa mmoja akanipa step hizo za kwanza [emoji23]
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,515 Sep 6, 2021 #4 Nina miaka zaidi ya kumi toka nimevaa tai kwa mara ya Mwisho.
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,025 Reaction score 1,710 Sep 7, 2021 #5 Nakumbuka nilikua nafwata darasani ili niwafungie tie[emoji16]
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,377 Reaction score 9,177 Sep 8, 2021 #6 Mara ya mwisho kufunga na kuvaa tai nafikiri ilikuwa 1998/1999