IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,463
- 7,385
kwa rangi zao.utawajua tu................
kwa rangi zao.utawajua tu................
Hapo kwa red, wewe ulitaka umpe nini? Au unadhani alikuja kwako kupata raha? Hawa mabinti wa kileo huwa hawafuati raha, ni fweza tu man.hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?