Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,172
Slaa alikuwa anapata taabu kweli.
Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.
Yeye (Zitto) si anajisifu kuwa ni maarufu? Kwa nini asingetumia huo umaarufu kuwaomba kura wananchi wa mikoa ya Kusini?
umetumwa si bure kwanini usiwafikirie wale wa viti maalumu tuondokee na uchochezi wako hapa mbeya mkubwa
kwani yeye angeenda ndo slaa angeshinda
kwanza mwenyekiti ,mgombea mwenza mwasisi mtei walikuwa wapi?
na wewe kama mfurukutwa ulikuwa wapi
Zitto hakuwa na wakumzuia kushinda jimboni kwake, kwa nini hakumsaidia Slaa kupiga kampeni mikoa ambako Chadema kilikuwa na ushawishi mdogo.
majibu yako yamemtosheleza kabisa huyo mtoa mada,wao waseme kama wana ajenda yasiri na zito sio kumnanga nakumsingizia nakumchafua kilawakati haifai kabisa, tubadilikekule ni ngome ya cuf. halaf kwani zitto jameni ni bulldozer? mbna mnataka kumuonea kijana wa watu? kwa nini usimtaje mwenyekiti Mbowe? Hata zitto kule kwake alikuwa amebanwa na cuf, hivyo alikuwa na kazi kubwa ya kuzima moto nyumbani kwake kabla ya kukimbilia kwa jirani kuzima moto. Huwezi kuacha nyumba yako ikaungua ukaenda kuzima nyumba ya jirani yako, lazima kwanza uanzie kwako...Try to be FAIR kwenye mambo haya siyo kila kitu kumshutumu Zitto. Kwa sasa tujadili ni namna gani tujipange ili tuweze kuziteka ngome zote za CCM pamoja na zile za CUf na nccr maana wote wmaeamua kuwa kitu kimoja,.i.e ccm+nccr+cuf=1