Mambo kadhaa sasa yanaonyesha kuwa watuhumiwa wa ufisadi wana nguvu ndani ya CCM na TZ kwa ujumla.Mfano katika uchaguzi mkuu ulioisha wameripotiwa kuwakampenia baadhi ya wagombea na wamepita Ubunge.Katika uteuzi wa nafasi mbalimbali serikalini watu wao pia wapo,katika uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi pia wamo na sehemu zingine nyingi.Sasa kwenye ugombea Uspika wa Bunge pia nguvu yao imeonekana.Ina maana sasa TZ tunakubali shinikizo la wenye fedha hakuna kabisa namna ya kuachana nao?
Ndio maana naulizia maana kweli sasa watu hawamuogopi mungu bali kuabudu fedha kweli? tuiombee nchi hii inaelekea kubaya.Nguvu ya mamba iko ku mayi. Mayi ya fisadi ni CCM. Wewe hulijui hilo? Watakucheka watu.
Mambo kadhaa sasa yanaonyesha kuwa watuhumiwa wa ufisadi wana nguvu ndani ya CCM na TZ kwa ujumla.Mfano katika uchaguzi mkuu ulioisha wameripotiwa kuwakampenia baadhi ya wagombea na wamepita Ubunge.Katika uteuzi wa nafasi mbalimbali serikalini watu wao pia wapo,katika uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi pia wamo na sehemu zingine nyingi.Sasa kwenye ugombea Uspika wa Bunge pia nguvu yao imeonekana.Ina maana sasa TZ tunakubali shinikizo la wenye fedha hakuna kabisa namna ya kuachana nao?
Njia ya bunduki si watatumia fedha zao kukodi Jeshi,vipi njia ya amani ya ngvu ya umma?kweli si siri tena kuwa TZ imetekwa,sasa na akili zetu nazo zimetekwa?Tuikomboe nchi yetu hata kabla ya 2015.Njia pekee ya kuachana nao ni kuwakamatia bunduki. Maana kupitia sanduku la kura wanatununua na kuchakachua.
Mambo kadhaa sasa yanaonyesha kuwa watuhumiwa wa ufisadi wana nguvu ndani ya CCM na TZ kwa ujumla.Mfano katika uchaguzi mkuu ulioisha wameripotiwa kuwakampenia baadhi ya wagombea na wamepita Ubunge.Katika uteuzi wa nafasi mbalimbali serikalini watu wao pia wapo,katika uchakachuaji wa matokeo ya uchaguzi pia wamo na sehemu zingine nyingi.Sasa kwenye ugombea Uspika wa Bunge pia nguvu yao imeonekana.Ina maana sasa TZ tunakubali shinikizo la wenye fedha hakuna kabisa namna ya kuachana nao?
Njia pekee ya kuachana nao ni kuwakamatia bunduki. Maana kupitia sanduku la kura wanatununua na kuchakachua.
jamani mi naona 2015 ni mbali sana some thing has to be done here in betweenBwana hmethod hata Avatar yako inakupinga hebu iangalie vizuri tena. Hili unaloongea haliwezekani Tanzania.