Kwa nini watu wanalia?


Mkuu wa wilaya ya Nkasi , Idd Kimanta akiangua kilio jana akisikitikia na kuona uchungu utendaji wa ovyo wa Mkurugenzi na wakuu wa idara ya halmashauri hiyo mbele ya baraza la madiwani mjini Namanyere kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Nkasi , Saada Mwaruka
 
Sio kila kilio ni maumivu vyengine ni raha
 
Hii ya RAHA ni ya kamjadala kidogo, nadhani tafsida imetumika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…