Mm nafikiri inachangiwa na mambo yafuatayo:- private candidate hawana continues assesment ambazo zinachukua 50% hivyo yeye anafanyia marks 100-kutokaa darasani -kutojua cha kusoma na cha kuacha-not committed-usahihishaji wa mitihani yao often is violently way -passing mark is above 51(c) o level,bt not sure indeed,mimi nafikiri hizo sababu juu zinapelekea kufeli kwa pc.