Karucee JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 18,196 Reaction score 34,502 May 26, 2013 #41 Mie jamani wala sikulia. Na waliokuwa wanalia niliwashangaa. Hawana lolote walilia kwa kupungukiwa na nguvu kazi ya kuosha vyombo na kupiga deki home.
Mie jamani wala sikulia. Na waliokuwa wanalia niliwashangaa. Hawana lolote walilia kwa kupungukiwa na nguvu kazi ya kuosha vyombo na kupiga deki home.
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 May 26, 2013 #42 St. Paka Mweusi said: Hata siamini,hivi siku hizi wanawake kwenye ndoa wanacheza na Kiduku,naomba nitakapofika hapo nikaribishwe na mwaJ au amu wanionyeshe mji kwanza........ Click to expand... Paka Mweusi umekuja mtaa huu? Habari za kwa shangazi. Kuhusu kuoneshwa mji, hakuna shida mdogo wangu amu atakukaribisha. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St. Paka Mweusi said: Hata siamini,hivi siku hizi wanawake kwenye ndoa wanacheza na Kiduku,naomba nitakapofika hapo nikaribishwe na mwaJ au amu wanionyeshe mji kwanza........ Click to expand... Paka Mweusi umekuja mtaa huu? Habari za kwa shangazi. Kuhusu kuoneshwa mji, hakuna shida mdogo wangu amu atakukaribisha.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,646 Reaction score 19,040 May 26, 2013 #43 Kilio Chetu2015 said: Mwanamke ni sawa na gari,kubebe mizigo kila mara,mwanamke akizidisha wanaume ni lazima avhoke. Mi staoa used. Click to expand... ukioa used .ni mzuri kwa Kuwa ni mzoefu...
Kilio Chetu2015 said: Mwanamke ni sawa na gari,kubebe mizigo kila mara,mwanamke akizidisha wanaume ni lazima avhoke. Mi staoa used. Click to expand... ukioa used .ni mzuri kwa Kuwa ni mzoefu...
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 May 27, 2013 #44 St. Paka Mweusi said: Mama yangu, nazidi kuogopa,hana tofauti na Filipo huyo,waharibifu sana hao watu,muulize sweetlady au Madame B watakueleza kinagaubaga............ Click to expand... Halafu wewe!? Ule mpango wako na vivian uliishia wapi? Au unaogopa atalia!!!!? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St. Paka Mweusi said: Mama yangu, nazidi kuogopa,hana tofauti na Filipo huyo,waharibifu sana hao watu,muulize sweetlady au Madame B watakueleza kinagaubaga............ Click to expand... Halafu wewe!? Ule mpango wako na vivian uliishia wapi? Au unaogopa atalia!!!!?
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 May 27, 2013 Thread starter #45 Filipo said: Halafu wewe!? Ule mpango wako na vivian uliishia wapi? Au unaogopa atalia!!!!? Click to expand... Mh umekuja..!!
Filipo said: Halafu wewe!? Ule mpango wako na vivian uliishia wapi? Au unaogopa atalia!!!!? Click to expand... Mh umekuja..!!
Filipo JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 9,347 Reaction score 5,555 May 27, 2013 #46 St. Paka Mweusi said: Mh umekuja..!! Click to expand... Nimekwambia tuko bize mimi na wife wangu marejesho tukimwandalia "Kijacho" makazi hapa duniani! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
St. Paka Mweusi said: Mh umekuja..!! Click to expand... Nimekwambia tuko bize mimi na wife wangu marejesho tukimwandalia "Kijacho" makazi hapa duniani!
Nkissa Member Joined Sep 7, 2012 Posts 51 Reaction score 9 May 27, 2013 #47 wanaolia wanajutia uamuzi kwani bado hawakuwa wamemaliza mambo yao ya kitaan chezea mpododo weye!!
Passion Lady JF-Expert Member Joined Nov 17, 2012 Posts 8,694 Reaction score 4,646 May 27, 2013 #48 measkron said: Hello my daughter, how are you? Click to expand... am fyn mamiiii haw z u n'dady? miss u mingi!!
measkron said: Hello my daughter, how are you? Click to expand... am fyn mamiiii haw z u n'dady? miss u mingi!!
Butogo New Member Joined Apr 5, 2013 Posts 4 Reaction score 1 May 27, 2013 #49 St. Paka Mweusi said: Duh ndio kusema kuwa wa siku hizi wamekomaa mpaka mishipa ya aibu haipo tena..?? Click to expand... Ndo ukweli wenyewe
St. Paka Mweusi said: Duh ndio kusema kuwa wa siku hizi wamekomaa mpaka mishipa ya aibu haipo tena..?? Click to expand... Ndo ukweli wenyewe
T The King Of Mind New Member Joined May 28, 2013 Posts 2 Reaction score 1 May 28, 2013 #50 Mapenzi hayahitaji uzoefu kwa mara ya kwanza ndio maana mungu aliutukuza uwepo wa bikra.