Kwa nini wanawake hawakubali ukweli?

Mwaya J

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
238
Reaction score
82
Nimeona mara nyingi kwa watu waliovunja mahusiano,lawama nyingi hupewa wanaume lkn wanawake hawakubali kama ndio chanzo
 
Suala la mtu kuwa mkweli hasa kwa nafsi yake ni gumu. Si wanawake tu bali hata wanaume, pindi mahusiano yanapofikia tamati kila mmoja hutafuta kichaka cha kuficha udhaifu wake.
 
Wanawake wana roho za kike
roho ndogo

kukubali lawama lazima uwe na roho ya kiumbe
bigger heart
 
Mbona wanaume wengi tu wakiona kampa mimba binti wanakana macho meupe na kukimbia kabisa wadada machozi yao yanaishia kwenye khanga.
kukubali kosa au kukataa ni hulka tu ya mtu.
 
mimi nakubali ukweli as long as ni ukweli pure
 
So wanawake ndio.walinzi wa penzi lisivunjike??
Wooooih!!
Kuwa mwanamke ni kazi sana sosi Kongosho
Mekumithije !!
 
Last edited by a moderator:
Mbona wanaume wengi tu wakiona kampa mimba binti wanakana macho meupe na kukimbia kabisa wadada machozi yao yanaishia kwenye khanga.
kukubali kosa au kukataa ni hulka tu ya mtu.
Apologise lady....
 
Nimekumiss pia sana, nilikuwa ninafanya kazi ya uhotelia, day and night shift.

Msalimie baraka

So wanawake ndio.walinzi wa penzi lisivunjike??
Wooooih!!
Kuwa mwanamke ni kazi sana sosi Kongosho
Mekumithije !!
 
Kwani mwanamke tu ndo wakulaumiwa mahusiano yasipofanikiwa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…