kumekuwa na tabia ya vijana kabla ya kuoa huwa tunajali sana nyumbani tunasomesha wadogo zetu tunahudumia wazazi na tunakuwa cio wabahiri sasa pindi tunapooa mambo hubadilika utakuta kijana home amesahau kabisa anaishi maisha mazuri kwake ana gar house nenda kwao sasa uone vituko utacheka mwenyewe BUT dada zetu wenyewe hujali sana kwao tofaut na cici vijana sasa je wake zetu ndo hutuzuia kusaidia home, majukum, ubahir au ujinga jamani tafadhali msinitukane kwani hayo ni maoni yangu
hapo kwa RED ni muhimu sana.sasa si mwenyewe umesema wakishaoa?
majukumu yanaongezeka
kwani ukioa na mshahara unaongezeka?
na mara nyingi sana wamama/dada/kaka/...... wanaotegemea ndugu yao huyo akishaoa huwa inakuwa balaa..... maneno kila siku, wanasahau kuwa huyo mtu sasa ana watu wengine muhimu sana kwake wa kuwahudumiaUsipoangalia mama anaweza kuanza kumchukia mke wako, kama ulishamzoesha kiala baada ya miezi mitatu anapata vitenge sasa umeoa mambo ghafla yamebadilika, anaweza kufikiri mke wako amekukataza.
hapo kwa RED ni muhimu sana.
watu wanasahau kuwa wakioa mshahara hauongezeki.
kabla hujaoa unakuwa huna majukumu zaidi ya kuhudumia kwenu, ukishaoa umeshaongeza matumizi...
Mungu akiwajalia mtoto wa kwanza ndo kabisaaaaa, na wa pili, wa tatu....... na unaweza ukawa umebaki kwenye mshahara ule ule au kama umepanda, ukiangalia na ongezeko la member wa familia yako, na kupanda kwa gharama ya maisha ndo unazidi kuwa na hali mbaya...
kama unakuwa na kipato kikubwa baada ya kuoa na husaidii kwenu basi ni ujinga wako, wala usisingizie mkeo
Mbona akinadada wakiolewa nyumbani kwao kunazidisha kufaidi? Je, wao wakiolewa na mishahara inapanda?hapo kwa RED ni muhimu sana.
watu wanasahau kuwa wakioa mshahara hauongezeki.
kabla hujaoa unakuwa huna majukumu zaidi ya kuhudumia kwenu, ukishaoa umeshaongeza matumizi...
Mungu akiwajalia mtoto wa kwanza ndo kabisaaaaa, na wa pili, wa tatu....... na unaweza ukawa umebaki kwenye mshahara ule ule au kama umepanda, ukiangalia na ongezeko la member wa familia yako, na kupanda kwa gharama ya maisha ndo unazidi kuwa na hali mbaya...
kama unakuwa na kipato kikubwa baada ya kuoa na husaidii kwenu basi ni ujinga wako, wala usisingizie mkeo
kuna uwezekano wa mambo mawili...Mbona akinadada wakiolewa nyumbani kwao kunazidisha kufaidi? Je, wao wakiolewa na mishahara inapanda?
ha haaa, juzi tuliambiwa tusipolipia swimming next term basi hataenda shule....... hawezi akawa kila siku anabaki mwenyewe shule wakati wenzie wameenda kuswim...... umeona sasa?Hapo kwenye red, unaanza kufikiria ada ya English Medium, school trips na inatokea wakwe wanahitaji msaada wako pia.
Mbona akinadada wakiolewa nyumbani kwao kunazidisha kufaidi? Je, wao wakiolewa na mishahara inapanda?
Ngoja x_mas ya mwaka huu niende nyumbani maana naona mmetumwa kunifikishia ujumbe..
Uhalisia wako unareta raha, 'kiipu iti apu' kwa faida ya JFkuna uwezekano wa mambo mawili...
kuna familia ambazo mshahara wa baba ndo unatunza familia, wa mama hauna mchango wowote kwenye hiyo nyumba.... ni kwa ajili ya matumizi yake. sasa kama nipo kwenye familia ya aina hiyo, nakula, kulala kwa mshahara wa mume naweza wangu nikatumia kuwapa familia yangu...... hapa sasa sijui unataka na mume amwombe mkewe asaidie kwa wakweze???
kuna familia ambazo wamama wanaiba hela (hili huwa silipendi kabisaaaa, lakini lipo). mama anakuwa anachukua hela na kusaidia nyumbani kwake bila mumewe kujua. mume anadhani kuwa wote tumebanwa na hatuwezi kusaidia home, kumbe mwenzie anasaidia nyumbani kwake.
Kama mabo ni hivyo mimi kuoa basi!!!! Sitaki niibiwe kama FP alivyosema wala kufanywa ATM.Ndiyo maana wahenga wanasema ukizaa mtoto wa kike umemzaa mama yako, kwani atakulea daima,