Kwa nini wanandoa wengi wanasaliti ndoa zao?

Kwa nini wanandoa wengi wanasaliti ndoa zao?

Runner

Member
Joined
Feb 7, 2011
Posts
85
Reaction score
13
Habari wapendwa wana JF,kwa kweli nimekaa nikafikiria na kujiuliza sana juu ya hili swala "kwa wanandoa wengi siku hizi wanasaliti ndoa zao?"....Katika watu nilioongea nao asilimia kubwa wanakwambia "nna dada mmoja natembea nae,ila ni mke wa mtu au nna kijana wangu anaemsaidia mzee shughuli nyingine"....sasa mimi nilitamani kufahamu,ni kwann hili wimbi la wanandoa kutoka nje ya ndoa chanzo chake ni nini hasa?Kwa hali hii ni nini maana ya ndoa?
 
Tamaa za ngono tu zinawasumbua nakuhakikishia hakuna mume wa mtu asingonoka nje
 
Wewe sema taratibu!siku hizi kusaliti ndoa kunamaanisha kuitelekeza ndoa,ila kutoka nje ya ndoa kunamaanisha kuboresha ndoa!imekua kawaida sana kutoka nje ya ndoa siku hizi,Mungu atunusuru!
 
Kuna vitu vingi katikati.
  • Kikubwa kabisa ni mmomonyoko wa maadili.
  • Watu kukosa hofu ya MUNGU
  • Pepo wa uzinzi yupo kazini kikamilifu
  • Kuendekeza tamaa mbaya za umalaya
  • Ngono imeongezeka sana utamu siku hizi hasa ukiifanya nje ya ndoa
 
Tamaa za ngono tu zinawasumbua nakuhakikishia hakuna mume wa mtu asingonoka nje

Mbona tuko wengi tu wa kwanza mimi kamuulize mama Ngina atakuambia tu au unataka kutumia ya samaki mmoja akioza wote wameoza hapana chomoa aliyeoza tupa.
 
Tatizo kubwa wanawake wamekuwa visiran na wenye gubu we unam2kana mumeo tangu asubuh had ucku unadhan hyo ni ndoa au ndoano?na bado wengine wanalala nje maana kelele zimezid me nimeona mwenyewe kwa macho ikifika ucku mwanaume anaenda kulala gest ksbb ndan ni moto sasa afanyeje
 
Kuna vitu vingi katikati.
  • Kikubwa kabisa ni mmomonyoko wa maadili.
  • Watu kukosa hofu ya MUNGU
  • Pepo wa uzinzi yupo kazini kikamilifu
  • Kuendekeza tamaa mbaya za umalaya
  • Ngono imeongezeka sana utamu siku hizi hasa ukiifanya nje ya ndoa
hapo kwenye bold :nono:

Ilikuwepo tangu zama hizo, ila kwa sasa imepambwa na shetani na kuonekana kama ndiyo fasheni...ila ina madhara

makubwa kisaikolojia n.k.
 
Tamaa imekuwa kubwa na upendo wa wanandoa kupungua, uchumi pia ni sababu, lakini kubwa zaidi ni utandawazi huu ndio huchochea zaidi mambo hayo. kama kusingekuwa na utandawazi wa simu za mkononi, mitandao ya internet n.k mambo hayaa yangepungua sana.
 
Watu wanaoa na kuolewa bila kujua maana ya NDOA ie wanandoa hawajui maana ya NDOA
 
kikubwa ni tamaa ya ngono, pili ni wanandoa kuoana accidentally, tatu ni sababu ya kuzalishana bila kutarajia yote ni mistek kubwa sana muhimu kuwa makin ktk yote hayo!
 
Tamaa za ngono tu zinawasumbua nakuhakikishia hakuna mume wa mtu asingonoka nje

si kweli kabisaa! Sio wanaume wote wanaopenda kungonoka nje kuna wengine wametulia na ndoa zao hawana muda na vimada
 
jaman nikiwe mama d kiona hyo kauli ntalala nje mwenzio itengeneze kidogo bas upunguze ukali "sema baadh ya wanaume......................
 
Back
Top Bottom