kwa nini wahanga wa gongolamboto wanafanywa ombaomba??!

Vakwavwe

JF-Expert Member
May 16, 2009
503
100
Inasikitisha sana kuona hawa ndugu zetu wamefanywa ombaomba na serikali yao!!hivi hatuna kikosi cha maafa cha majeshi yetu kuweza kuwasaidia hawa ndugu zetu??inatia hasira sana wandugu,watu wanachanga lkn ilibidi iwe nyongeza ya inachofanya serikali.cku ya 6 leo kuna watu hawajasaidiwa na wanalala nje!makampuni makubwa kama ya simu yanatoa 1.5M unategemea nini?watu binafsi hasa waajiriwa wamechalala wanasubiri payday ya mwezi huu ndo wasupport.sasa serikali wanafanya nini jamani?kwa mwendo huu kazi ya wapinzani kuling,oa jabali ccm itakuwa nyepesi sana.
 
Back
Top Bottom