kwa nini wabunge isiwe kama madiwani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa nini wabunge isiwe kama madiwani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by regam, Jan 15, 2011.

 1. regam

  regam JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 268
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwenu wana jf. Hivi kwa nini wagombea ubunge wasiwe kama ilivyo kwa madiwani kwamba lazima wawe wakazi wa eneo wanalogombea? Nadhani hii itaongeza ufanisi katika utendaji wao badala ya hali ya sasa wote wamejazana mijini na kukimbia majimbo yao. Wanaonekana huko kipindi cha kuomba kura. Nadhani hili linaweza kuwa ni moja ya pendekezo katika mabadiliko ya katiba yetu.
  Nawasilisha!
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ni vigumu! Hata madiwani wengine wanatoka mijini kwenda kuwania hivyo viti huko vijijini!
   
Loading...