SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Hivi kuna 'special schooler' yeyote aliyesoma kwenye hizo 'special schools' za bongo aliyevumbua chochote? Halafu hizo 'special schools' zenyewe ukiziona hali zake....hmmmm.....ni spesho kweli kweli.
Nipo arif....MIT class of 2001, summa cum laude.
Yo Yo leo umetisha aise. Nakubaliana na wewe kabisa
Matola mkuu umeua aise role model wake ni sharo ina maana mpaka kuvaa au kutembea
Kwa nini isiwe Mark mwanzilishi wa facebook au Bill au Mandela au usiende mbali vijana kama John Mnyika au January Makamba hata kama si kwa kufuata itikadi zao ila at least kuwazia siku moja kuwa kama wao kimaisha kwa kupambana
Unawaza kuwa kama sharo zaidi ya kunywa na kutembea na wawake wengi na kuwaza kuwa na kiGX100 na chumba cha kupanga mitaa ya sinza ni nini
labda vijana wa kwenu tuh,
vijana tunaoishi nao sisi na tuliograduate nao ni great thinkers na sio masela mavi kama hao,
usije na hoja za kujumuisha hulka na silka ya hao uliowaona na kuish nao wewe,,
then usijifanye unakuja na lugha za kuzimu ili uonekane kama wewe uko smart kwa asilimia zote,,
fafanua hoja ueleweke