Upendo sio kipimo cha kutangaza ndoa kaka. Ndoa ni zaidi ya upendo. Ndoa ni commitment kubwa sana kuliko yoyote ile duniani, kwa hiyo sio kitu cha kukurupuka kurupuka tu kutangaza. Ila ukiipa umuhimu kidogo utatangaza tu kwa yeyote kuonesha uko siriaz, huku nako ni kuishiwa sera.