Kwa nini unidanganye? usinichkulie poa poa!

Kwa nini unidanganye? usinichkulie poa poa!

Habari zenu wadau (a.k.a malover boy na malover girl!)
...
Kutokana na kutompata anaestahili kuwa mke wangu, nimeona siwezi kukaa bila ke wa kunipa mbunye!
That is reality siwezi kuishi bila mbunye! Mkikataa, kimpango wenu!
...
Nimekaa na haka kabinti takriban miaka miwili sasa. Ukweli simpendi but nahisi yeye ananipenda!
...
Kutokumpenda kwangu haina maana kuwa niishi mwenyewe tu!
For sure najipa matumaini nikiwachanganya hata wanne, mmoja wao anaweza kujakuwa my wife!
...
Kuna haka kabinti kamoja ambako nadoo nacho! Kiukweli simpendi but nimegundua tuko compatible sana!
Tatizo lake aliniambia yeye ni Muislamu! While mimi ni muslim na anatambua!
Kutokana na umbali wetu, sikuweza kuproof kama yeye ni Muslim or not!
...
Mwenyewe alinimbia yeye ni Muslim! Kwangu mimi mtu kama nampenda hata kama ni mkiristo if tukikubaliana naweza kumuoa hata kama yeye ni mkiristo!
...
Haka kabinti kamenidanganya na nimeproof kuwa yeye ni mkiristo wakati wa ku......
Kwanini amtaje Yesu zaidi ya mara 3????
...
My take: Uwongo wenu unaharibia, for sure uwongo mwengine haujengi zaidi unabomoa!
Pia mkumbuke ndoa hailazimishwi!!!!

1457590_10202649088177175_1427041660_n.jpg
 
Hahahahahahaaaaa!
For sure mtu ukimpa pipe ya ukweli bila shaka ukweli utaujua!
Coz hatoacha kutafuta muombezi wake!
Na ndio hapo nimeujua ukweli!
...
Haiwezekani kwa Muislamu kumtaja yesu katika yale makitu asee!

Mkuu, hizo ni swagga tu za kukufanya ujuiskie kwamba unajjua kucheza mechi....
Haujasikiaga hata wakristo wakesema Wallahi wallahi? Teheee teheeee...
 
Kasamehe tu kamezoea jina la Yesu badala ya Issa jina ambalo Waislamu hulitumia kwa Yesu. Next time kakikupa uroda kakumbushe ukiwa unakagegeda na kakinogewa na utamu kasitamke Yesu weye hupendi, bali katamke Issa.
 
Kasamehe tu kamezoea jina la Yesu badala ya Issa jina ambalo Waislamu hulitumia kwa Yesu. Next time kakikupa uroda kakumbushe ukiwa unakagegeda na kakinogewa na utamu kasitamke Yesu weye hupendi, bali katamke Issa.

habari zimfikie.. Mashaxizo!

marry christmass!

and happy old year!

527192_10151525823898724_1302678948_n.jpg
 
Last edited by a moderator:
yaani nyote nyie hamjamjua Mashaxizo ni kwamba anataka kutuonyesha kwamba anamkuna kisawasawa bidada kiasi cha mdada kumtaja mwokozi tunayeadhimisha kuzaliwa siku ya leo.

hongera sana ndugu yangu,
kaza buti ili next game amtaje ALLAH!!

halafu gfsonwin, naomba huyo dem awe mkurya!

then tusikie atakavyotaja hapo! teh!
 
Last edited by a moderator:
Sasa kama HUMPENDI naHAMNA ndoa unalalamika nini? Na yeye amegundua hilo amejishikiza tu ili nayeye apate utamu! WACHA AKUDANGANYE!!
 
Thanks!
Na ujumbe uwafikie!
Uongo mwengine hauna faida yoyote zaidi ya hasara!

mm sioni kama kakukwaza popote, maana ushakaita kabinti na wala hukapendi, sasa kwann uumie unapogundua kamekudanganya? nilifikri utatake easy kwasabab hukapendi!
 
Hata kama!
Waswahili wanasema 'mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni'
Nashusha za ukweli,
tatu napigia humo humo! Just nabadili mikao tu! Im the king of jungle! True proud is my nature!
...
Just ajitokeze mdada mmoja tu wa hapa Jf athibitishe nimemtongoza! Nakulipa laki tano!
...
Malengo ya huu uzi ni kuwakumbusha me and ke kuwa uwongo hauna faida yoyote kwa mtu umpendae!
If unamchuna poa!
But Mashaxizo hachuniki!

sasa mkuu unalalamikia binti muongo kivipii....ushasema HAKUNA NDOA HAPO..unamla mbunye tu,...we unataka kula tu?LAZMA NA WEE ULIWEE...
 
Hivi kuna nini kinaendelea hapa?

Hahahahaaaa!
watu8 uzee unakuzonga! You cant talk friendly! Na ni vigumu mtu kukushawishi!
...
Hapa nimedanganywa! Nimestukizia chezo, na hata simuambii lolote! Ebboth nimuambie afu ukame ukinishika ntaponaje?
Apa dhahabu feki kwa hela za bandia! Sijui nani bingwa!!!!
 
Mkuu, hizo ni swagga tu za kukufanya ujuiskie kwamba unajjua kucheza mechi....
Haujasikiaga hata wakristo wakesema Wallahi wallahi? Teheee teheeee...

Sure thing mkuu
 
Back
Top Bottom