Kwa nini unidanganye? usinichkulie poa poa!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Habari zenu wadau (a.k.a malover boy na malover girl!)
...
Kutokana na kutompata anaestahili kuwa mke wangu, nimeona siwezi kukaa bila ke wa kunipa mbunye!
That is reality siwezi kuishi bila mbunye! Mkikataa, kimpango wenu!
...
Nimekaa na haka kabinti takriban miaka miwili sasa. Ukweli simpendi but nahisi yeye ananipenda!
...
Kutokumpenda kwangu haina maana kuwa niishi mwenyewe tu!
For sure najipa matumaini nikiwachanganya hata wanne, mmoja wao anaweza kujakuwa my wife!
...
Kuna haka kabinti kamoja ambako nadoo nacho! Kiukweli simpendi but nimegundua tuko compatible sana!
Tatizo lake aliniambia yeye ni Muislamu! While mimi ni muslim na anatambua!
Kutokana na umbali wetu, sikuweza kuproof kama yeye ni Muslim or not!
...
Mwenyewe alinimbia yeye ni Muslim! Kwangu mimi mtu kama nampenda hata kama ni mkiristo if tukikubaliana naweza kumuoa hata kama yeye ni mkiristo!
...
Haka kabinti kamenidanganya na nimeproof kuwa yeye ni mkiristo wakati wa ku......
Kwanini amtaje Yesu zaidi ya mara 3????
...
My take: Uwongo wenu unaharibia, for sure uwongo mwengine haujengi zaidi unabomoa!
Pia mkumbuke ndoa hailazimishwi!!!!
 

byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
hee hayanimesikia kama nakupenda je kwanin nisidanganye mbona nyie mnatudanganyaga xana tu....xaxa kwanin utangaze jamani ungeniita tu chemba uniambie dah......
 

kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
36,759
2,000
aisee, Kweli haileti picha nzuri ikiwa Kweli anakudanganya. Je ulimuuliza kwanini ana mtaJa bwana yesu, au anamtia mzuka?
 

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
aisee, Kweli haileti picha nzuri ikiwa Kweli anakudanganya. Je ulimuuliza kwanini ana mtaJa bwana yesu, au anamtia mzuka?

Kabanga hakuna sababu yoyote!
Ukweli ni kwamba ukishikwa ndipo unataja yaliopo!
...
Pambaf sake! Haoi mtu hapa!
 

gfsonwin

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
18,245
2,000
yaani nyote nyie hamjamjua Mashaxizo ni kwamba anataka kutuonyesha kwamba anamkuna kisawasawa bidada kiasi cha mdada kumtaja mwokozi tunayeadhimisha kuzaliwa siku ya leo.

hongera sana ndugu yangu,
kaza buti ili next game amtaje ALLAH!!
 
Last edited by a moderator:

Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
yaani nyote nyie hamjamjua Mashaxizo ni kwamba anataka kutuonyesha kwamba anamkuna kisawasawa bidada kiasi cha mdada kumtaja mwokozi tunayeadhimisha kuzaliwa siku ya leo.

hongera sana ndugu yangu,
kaza buti ili next game amtaje ALLAH!!

Hata kama!
Waswahili wanasema 'mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni'
Nashusha za ukweli,
tatu napigia humo humo! Just nabadili mikao tu! Im the king of jungle! True proud is my nature!
...
Just ajitokeze mdada mmoja tu wa hapa Jf athibitishe nimemtongoza! Nakulipa laki tano!
...
Malengo ya huu uzi ni kuwakumbusha me and ke kuwa uwongo hauna faida yoyote kwa mtu umpendae!
If unamchuna poa!
But Mashaxizo hachuniki!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom