Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 63,623 Reaction score 107,644 Sep 17, 2026 #1 Kwa nini unamchukia shetani? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie?
Kwa nini unamchukia shetani? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie?
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 34,582 Reaction score 100,776 Sep 17, 2026 #2 Siti ya mbele.
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,264 Reaction score 16,230 Sep 17, 2026 #3 Yoda said: Kwa nini unamchukia shetani ? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie ? Click to expand... Kwanini unipangie kipi cha kupenda au kuchukia? Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Yoda said: Kwa nini unamchukia shetani ? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie ? Click to expand... Kwanini unipangie kipi cha kupenda au kuchukia? Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 63,623 Reaction score 107,644 Sep 17, 2026 Thread starter #4 Interlacustrine R said: Kwanini unipangie kipi cha kupenda au kuchukia? Ubinadamu ni kazi/the humanity is work. Click to expand... Sijakupangia, nimekuuliza
Interlacustrine R said: Kwanini unipangie kipi cha kupenda au kuchukia? Ubinadamu ni kazi/the humanity is work. Click to expand... Sijakupangia, nimekuuliza
life255 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2026 Posts 587 Reaction score 1,470 Sep 17, 2026 #5 Yoda said: Kwa nini unamchukia shetani ? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie ? Click to expand... Shetani ni majuto Na mjuukuu ni matendo maovu
Yoda said: Kwa nini unamchukia shetani ? Kuna jambo gani shetani alilowahi kukufanyia binafsi hadi likakufanya umchukie ? Click to expand... Shetani ni majuto Na mjuukuu ni matendo maovu
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,008 Reaction score 21,315 Sep 17, 2026 #6 Hakuna mambo ya shetani wala nini ..... hizi ni illusions za wanadamu tu ........
Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 3,179 Reaction score 6,340 Sep 17, 2026 #7 Wanamchukia kwa maneno tu kwa vitendo anapendwa sana na watu.
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 8,264 Reaction score 16,230 Sep 17, 2026 #8 Yoda said: Sijakupangia, nimekuuliza Click to expand... Halikadhalika nimejibu kwa kukuuliza. Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Yoda said: Sijakupangia, nimekuuliza Click to expand... Halikadhalika nimejibu kwa kukuuliza. Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.