Kwa nini Umuhonge Mwanamke???

mizambwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2008
4,422
1,790
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.

Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata kama mwanamke ana kipato kikubwa akini bado anapewa pesa kwa ajili ya penzi. Mwenzenu napata taabu sana kulielewa suala hili.

(1) nini maana ya pesa anayopewa (kumuhonga)
(2) Je, kwa nini mwanamke asiwe yeye wa kumpa pesa mwanaume?

Wana JF naomba mnisaidie.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
HAHAHAH MKUU KAZI KWELI KWELI HUJAPATAGA BAHATI ZA KUHONGWA NINI,YANI HIYO KITU IMEZOELEKA SANA MAANA WATONGOZAJI WAKUU Ni nyie na mnaozidiwa hovyo hoyo ni nyie.we huoni hata majimama yanayojitongozesha huonga ?hiyo hutegemea na ninani aliyegongea hahahahh:hug:huyo mwenye kichwa chekundu ndio atatoa hla huyo.halafu inakuwa hivi:fish:
 
Ni desturi kwa mwanaume kumpa pesa mwanamke baada ya kufanya naye mapenzi, na ikiwa mmekubalina na pia RAHA hata na yeye anaipata.

Inakuwaje mmpe pesa na siyo mwanamke ampe pesa mwanaume, hata kama mwanamke ana kipato kikubwa akini bado anapewa pesa kwa ajili ya penzi. Mwenzenu napata taabu sana kulielewa suala hili.

(1) nini maana ya pesa anayopewa (kumuhonga)
(2) Je, kwa nini mwanamke asiwe yeye wa kumpa pesa mwanaume?

Wana JF naomba mnisaidie.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Hapo penye nyekundu pananipa mashaka kidogo. Sina uhakika kama hiyo ni desturi maana sidhani kama kuna huo utaratibu wa kuwa kila mara baada ya tendo unatakiwa kulipia! Ninavyofahamu mimi nikuwa, utaratibu huo upo kwa wale wanaonunua madada poa ila kwa wale wenye wapenzi wao sina hakika kama hii ni desturi yao!

Ila ni hali ya kawaida kwa upande wangu na naona ni wajibu wangu na pia ni fahari kumtunza na kumhudumia mwanamke ambaye ni mpenzi wangu. Kwa uelewa wangu, mwanamke anatakiwa kutunzwa, kupendwa, kuheshiwa, kuthaminiwa na kuhudimiwa. Wakati huduma hizo zinatolewa, si sahihi kuziita hongo, ni sehemu tu ya kuonyeshana mapenzi. Ktk zoezi hilo, mwanamke pia huthamini mchango na upendo wako na mwisho huishia kwenye kujikuta wote mkitunzana badala ya mmoja kumtunza mwenzake. Ktk hali kama hii huwa hakuna kutoa chochote mara baada ya kupeana huduma.
 
HAHAHAH MKUU KAZI KWELI KWELI HUJAPATAGA BAHATI ZA KUHONGWA NINI,YANI HIYO KITU IMEZOELEKA SANA MAANA WATONGOZAJI WAKUU Ni nyie na mnaozidiwa hovyo hoyo ni nyie.we huoni hata majimama yanayojitongozesha huonga ?hiyo hutegemea na ninani aliyegongea hahahahh

SINA BAHATI MIYE.

Hata wanawake pia wanazidiwa, lakini wagumu kutongoza ataishia kuonyesha dalili tu, sasa mwanaume akilianzisha basi keshaingia gharama.

MIZMBWA
INANIUMA SANA!!
 
khaaaaaaaaaaaaaa yaani kuna wanaohongwa baada ya kufanya mapenzi?
mbona wengine tunahongwa bila kutoa kipochi manyoya?
 
Mkuu ile sio kuhonga bali ni asante. sasa wewe umchafue mtoto wa watu halafu ushindwe kumpa hata ya kununulia sabuni akaoge?. Mtu unahonga kabla ya kufanikiwa, ukisha fanikiwa sio hongo tena bali ni asante. siku nyingine hata yeye anaweza kukupa asante halafu sio utamaduni wa mtanzania kutegemea demu.
 
Mimi huwa sihongi bali ninanunua. Tunaafikiana gharama kwa kila raundi, nalipia na kwenda raundi zangu. Nikimaliza hakuna kujuana wala kutumiana vocha za simu. Kwa maana nyingine, sihitaji matatizo ya kuwa na mtu ninayemwita mpenzi maana sipendi usumbufu wa akili hata kidogo.
 
Hichi kitu wanawake na wanaume wamepewa bure sasa kama unahonga ili upate basi ni wewe.Ebu jaribu kuomba uone kama ujapewa bure .Shida hamjui kuomba unaanza na kutoa vitu na dio maana hata Rushwa ilianza hivyohivyo
 
Mkuu ile sio kuhonga bali ni asante. sasa wewe umchafue mtoto wa watu halafu ushindwe kumpa hata ya kununulia sabuni akaoge?. Mtu unahonga kabla ya kufanikiwa, ukisha fanikiwa sio hongo tena bali ni asante. siku nyingine hata yeye anaweza kukupa asante halafu sio utamaduni wa mtanzania kutegemea demu.

Lakini dudu mbona wote tunachafuka; baada ya mchezo lazima tuoge vinginevyo.....:hatari:

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Mwulize Jogoo, kwa nini anahangaika kutafuta chakula, akikipata hali, anamwita Mtetea kwa mbwembwe zote. Mtetea akija anakula, halafu anaweza akaringa vile vile au akabonyea. Mwulize Jogoo - wa kuku.
 
Hapo penye nyekundu pananipa mashaka kidogo. Sina uhakika kama hiyo ni desturi maana sidhani kama kuna huo utaratibu wa kuwa kila mara baada ya tendo unatakiwa kulipia! Ninavyofahamu mimi nikuwa, utaratibu huo upo kwa wale wanaonunua madada poa ila kwa wale wenye wapenzi wao sina hakika kama hii ni desturi yao!

Ila ni hali ya kawaida kwa upande wangu na naona ni wajibu wangu na pia ni fahari kumtunza na kumhudumia mwanamke ambaye ni mpenzi wangu. Kwa uelewa wangu, mwanamke anatakiwa kutunzwa, kupendwa, kuheshiwa, kuthaminiwa na kuhudimiwa. Wakati huduma hizo zinatolewa, si sahihi kuziita hongo, ni sehemu tu ya kuonyeshana mapenzi. Ktk zoezi hilo, mwanamke pia huthamini mchango na upendo wako na mwisho huishia kwenye kujikuta wote mkitunzana badala ya mmoja kumtunza mwenzake. Ktk hali kama hii huwa hakuna kutoa chochote mara baada ya kupeana huduma.
Hapo umemaliza mkuu. Ndivyo ninavyofahamu mapenzi yalivyo.
 
Mimi huwa sihongi bali ninanunua. Tunaafikiana gharama kwa kila raundi, nalipia na kwenda raundi zangu. Nikimaliza hakuna kujuana wala kutumiana vocha za simu. Kwa maana nyingine, sihitaji matatizo ya kuwa na mtu ninayemwita mpenzi maana sipendi usumbufu wa akili hata kidogo.

Hapo labda uende kwa wale Madadapoa ambao mnahesabiana raundi.

Vinginevyo hawa wengine:-

(1) Umnunulie kinywaji, tena wengine bia hataki Soda, bia kama Henken na siyo Safari. Anakunywa balaa!!
(2) Umnunulie chakula - wanapenda Chips kuku tena ajabu anamaliza kuku mzima.
(3) Kama mnaenda Guest House hapo gharama nyingine - ulipie wewe chumba.
(4) Mmpe pesa nyingine.
(5) Pamoja na pesa umempa bado anakuomba Voucher.
(6) Pamoja na pesa umempa bado anakuomba nauli ya kurudi kwake.

Yaani sipati picha

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom