Kwa nini uko kwenye mahusiano?

Kwa nini uko kwenye mahusiano?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,105
Reaction score
55,514
Wengi tunaweza kuwa na sababu nyingi za kuingia au kuwa kwenye mahusiano; ingawa pia, wapo waliojikuta tayari wapo kwenye mahusiano bila kuwa na sababu maalumu.

Tupe sababu ya wewe kuwa au kutaka kuingia kwenye mahusiano kwa kutumia maneno yasiozidi mawili.​

Mfano:-
  • Kupata watoto
  • Kupata hela
  • Kutuliza hamu
  • Kuiga watu
  • Kutafuta faraja n.k
Je, sababu yako wewe ni ipi?
 
Ulipata msukumo gani?
Binafsi niliolewa nikiwa na umri mdogo 24 years baada ya kushika ujauzito. Kipindi hicho niliona ni sawa tu maana ndo utaratibu. Now najuta sana kufanya yale maamuzi na pia nawalaumu wazazi wangu kwanini hawakunikataza au kunishauri wakakubali tu niolewe bila hata pingamizi. Now najuta kwa kweli, ningetuliza akili kwanza
 
Back
Top Bottom