Bwana mmoja aliingia chumba cha binti yake akakuta binti anafanya mapenzi na kijana wa jirani huku TV inawaka.
Baba: We Joi, hujui kubana matumizi ya umeme? Tv iko on hakuna wa kuitazama. units zikiisha sinunui zingine haraka.
Binti: Samahani baba, sikukumbuka kuzima.