Kama Mtume alitumwa na Mungu na wote tunajua Mungu ana nguvu kwa sababu dunia na vyote viijazavyo ni mali yake kwa nini tuwapiganie Mitume waliotumwa na huyo Mungu?
mimi nikiwa kama mkristo na akatokea mtu kumkashifu Yesu ambaye mimi namwamini kama alitumwa na Mungu,je kwa nini mimi nigombane na yule mtu anayemkashifu??kwa sababu kwanza sijawahi kumwona Yesu kwa macho
kama Mtume mwenye nguvu anapiganiwa na wafuasi wake ilihali hata hawajawahi kumwona na kuamini 100% kuwa mtume huyu ni kweli aliishi hapa duniani hilo ni tatizo
ndugu zangu tubadilike tuache kuiga maisha ya Waarabu wale wana laana inayowasumbua,sisi tupambane na umaskini wetu tuacheni na uduni wa kuiga maisha ya watu wasio na uhusiano na sisi
Ndugu , ni ipi imani na ufahamu wako kuhusu maisha baada ya haya ya duniani?
for and back Bible is a verry complicated book ever in the world du!mkuu biblia inasema huwezi kumpenda mungu ambaye hujawi kumwona na kumchukia jirani yako anayemwona kila siku,mpende kwanza jirani yako ndipo utakapompenda mungu??sasa kupigania mitume ambao hatujawi kuwaona ni busara hiyo?
kwikwiwkiwkwiwkwiwkwiwkiwwkiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkiwwkwi ngoja wenye dini zao waje hapa uwaambie NO GOD hawatakuelewaKwa sababu mungu hayupo na habari nzima ya kwamba mitume wametumwa na mungu ni geresha tupu.
kwikwiwkiwkwiwkwiwkwiwkiwwkiwkiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkwiwkiwwkwi ngoja wenye dini zao waje hapa uwaambie NO GOD hawatakuelewa
qul ya ayu hal kaffiruna la abidun maa abatu ..lakum diinu kum walia diin
ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa_chezea kiranga wewe.kwa sababu mungu hayupo na habari nzima ya kwamba mitume wametumwa na mungu ni geresha tupu.
muda mwingine huwa natamani sana maisha ya mababu zetu tuabudu sanamu,miti mikubwa,mapango,njia panda sababu were no complication at all ,wote walipendana sanasana ,sasa baada ya kuletewa dini na meli za waarabu na wamissionary imetuletea mushkeri
imani nikuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo bayana ya mambo yasiyoonekana mbele za macho,ninaishi kwa neema za mwenyezi mungu tu.la sivyo sijui naamini nini kwa kweli mie.
soma upendavyoHata kusoma tuanzie kulia kurudi kushoto au??? Husomeki
The Quran in Sura (Chapter) 2:223 says:
Your women are your fields, so go into your fields whichever way you like . . . . (MAS Abdel Haleem, The Quran, Oxford UP, 2004)