Kwa nini thamani ya shilingi inaendelea kuporomoka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini thamani ya shilingi inaendelea kuporomoka?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NEW NOEL, Jul 1, 2011.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  tzs.jpg
  Jamani hivi ni kwanini thamani ya shilingi ya TZ inaendelea kuporomoka? Sasa hivi Dola moja ni sawa na shs 1600/-. Wakati huo nchi kama Rwanda pesa yao inapanda thamani kuliko ya kwetu. Pamoja na hayo,BOT wametoa noti mpya na wanadai zina ubora kuliko hizi zilizokuwepo kwenye mzunguko. Tazama hiyo noti ya shs 50/- inakukumbusha nini? Swali hilo ni kwa wale waliokuwepo enzi hizo noti hizi zikiwa katika mzunguko. Bila kusahau pamoja na BOT kutoa noti mpya bado zile za zamani zimeendelea kuwepo kwenye mzunguko.
  NI NINI MALENGO YA SERIKALI KUHAKIKISHA UCHUMI UNAKUA? AU TUTAENDELEZA VISINGIZIO VYA UKAME?
  UCHUMI WA NCHI YETU HAUWEZI KUKUA KAMA TUNAENDELEA KUNUNUA TU VITU KUTOKA NJE NA SISI HATUFANYI JITIHADA KUHAKIKISHA TUNAUZA KWA WENZETU PIA.
   
 2. womanizer

  womanizer Senior Member

  #2
  Jul 1, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata thamani ya CHADEMA nayo inaendelea kushuka siku hadi siku. Wamshukuru Zitto angalau anawaweka kwenye ramani ya magazeti ya udaku.
   
 3. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hata thamani ya utu wako inaporomoka sambamba! Hicho ndio waTZ wengi bado kutambua
   
Loading...