Kwa nini serikali kuu haina ofisi Zanzibar?

Kwa nini serikali kuu haina ofisi Zanzibar?

Zanzibar-Nyamwezi

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2013
Posts
1,244
Reaction score
766
Wakuu nina swali dogo, kwanini hata Rais wa Jamhuri hana hata kiofisini katika sehemu ya Tanzania inayojitawala? Wabara mara nyingi wakionewa kitu kinachotokea kila wakati hawana pa kwenda kulalamika. Kwanini ?
 
Back
Top Bottom