Kwa nini nilipie?

Kwa nini nilipie?

Kigarama

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2007
Posts
2,492
Reaction score
1,238
Kwenye maisha ya binadamu wakati mwingine mtu hulazimika au huamua kuingia kwenye mahusiano na mtu mwingine kwa mara moja tu. Mahusiano haya ambayo hayana lengo la kuishia kuwa wanandoa hufanywa kwa kificho au kwa bayana kufuatana na hali (Status) aliyonayo mtu.

Lakini kinachokera kwenye mahusiano haya ni mzigo wote wa kuyastawisha kubebwa na mwanaume. Kama ni kwenda "Guest" basi mlipaji ni mwanaume, kama ni makulaji na manywaji (Manywewa) shuluba itamkuta mwanaume, na mambo kadha wa kadha na zaidi ya hapo mwisho wa siku ni mwanamke atakayeondoka na hela za Mwanaume. Kwa nini??

Hivi ni mwanaume pekee ndiye anayefaidika na raha inayopatikana, yeye mwanamke hasikii chochote au ndiyo kusema "mwana mwenye kilanga" haliliwi?
 
sasa ulitaka mwanaume ndo upewe hela ya tax ya kurudi kwa mkeo?makubwa!
 
becoz b.it.ches be thinking they doing u a favour by muvua chupi
 
sasa ulitaka mwanaume ndo upewe hela ya tax ya kurudi kwa mkeo?makubwa!
Sasa usawa mnaoutaka ni kwenye nini!? Nyie mnataka tuwe sawa kwenye nini hasa??
 
Nikiukwaa wanawake wote wapenda miteremko nakufa nao
 
Mie mwanamke akisema analipia guest house hata jogoo haliwiki kabisa ........!
ntahisi Kama kuna mtego nafanyiwa .............
Sawa lipia "Guest" lakini mwisho wa siku kila mtu aondoke kama alivyokuja!!
 
Back
Top Bottom