KAKA HAPA NI SABABU ZA NEC NI UIZI MTUPU ANGALIA HAPA. ANGALIA KATI YA GEITA NA NYANG`HWALE:A S angry:
Mojawapo ya majimbo aliyoyataja Dr Slaa jana ni utofauti wa matokeo ya jimbo la Geita, katika pita pita yangu nimegundua matokeo ya Geita na jimbo la Nyang'hwale yanafanana kila kitu.
Je walipitwa au ni uzembe, kama ni kweli je kuna majimbo mangapi yenye dosari za namna hii au zingine???
Jionee mwenyewe kwenye hii spread sheet. Au unaweza kugonga hapa: The National Electrol Commission of Tanzania - Homepage
au
Hivi ndivyo inavyoonekana mpaka leo tarehe 04.11.2010 Saa kumi na mbili na dakika 28 za jioni (12.28 kwa Kiswahili) za Tanzania, Saa za Afrika Mashariki. Mkuu tuwekee na wewe muda uliozinakili pamoja na tarehe. Weka chini ya jedwali lako hapo mwanzo.