Nchaby
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 797
- 259
Habari wana JF.
Nimejiuliza sana sana lakini sijapata majibu yauhakika yanayo weza kuleta faraja.
Ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa ndoa nyingi kwa sasa zina matatizo mengi mno. Hasa ya wanandoa kutoelewana, kutuhumiana kwenda nje ya ndoa, na pengine kufumaniana na kupishana katika mambo mbalimbali.
Najiuliza; hivi wanandoa hawa walioana pasipo kuridhika pande zote?
Lakini mbaya zaidi ni nyumba ndogo kupewa nafasi miaka michache tu ya maisha hayo ya ndoa!!!
Najiuliza; hivi ndio current new life style!!!!
Mdau wewe una lipi la kusema?