Kwa nini namtuhumu Deo Mwanyika?

Truth guy.

JF-Expert Member
Oct 30, 2013
396
195
Mara baada ya kuweka uzi wa tuhuma nzito kwa Deo Mwanyika,wengi wamenikashfu sana badala ya kutaka nithibitishe,mwaka 2007 wakati wa mgomo wa wafanyakazi wa BARRICK BULYANHULU,Mwanyika kupitia kituo cha runinga cha ITV,kwa makusudi kabisa huku akijua anaongea uongo mbele za Mungu na taifa lote,alidanganya akisema mgomo huo umetokana na wafanyakazi kutaka wawe wanapewa nafasi kwenye ndege ya DASH 8,wakati uwezo wa ndege ni abiria 30 na wao wapo zaidi ya elfu,mishahara yao ni mikubwa mno,kima cha chini ni sh mil 1.8,naami wapo wenye kumbukumbu waliomuona,leo hii akifuatwa kuhojiwa na chombo chochote cha habari ni lazima atadanganya,nina salary slips za wafanyakazi za tangu mwaka 2001 hadi leo,Bynercut imepewa maeneo ya uchimbaji ya Barrick na sasa wafanyakazi wengi wa Barrick(underground mining) wanataka kupunguzwa kazi kinyume cha sheria ya kazi ya kuvunja mkataba,anayepinga jamani hajui,mi siyo chizi wa kuleta uzi wa kufikirika kama baadhi mnavyonituhumu,I'm a private agent,kwa maslahi ya taifa langu.
 
TAMIKO wako pale kushibisha matumbo yao tu wala hawashughuliki na mambo yenu ninyi lipeni tu michango yenu baada pakitokea jambo wanawaacha solemba.
 
Malipo ni hapa hapa duniani, lazima walioumizwa na Deo Mwanyika wanakubali kupata haki yao..
 
Nimeamini mbio za sakafuni mwisho ukingoni. Tunapoambiwa malipo ni hapa hapa duniani tujaribu kuelewa.
Hebu ona yanayomnyemelea ndugu yetu Mwanyika na sijui kama alishawahi kuwaza kuwa ipo siku atapanda kizimbani kwa tuhuma alizozipuuza hadharani.
 
Waungwana nahitaji elimu kwa hili la kjj cha rupota w nachingwea.mtendaji Wa kjj kwa ushirika Wa wahuni ambao not wajumbe s/kjj ,wamewapiga faini ya tshs 25000/ wananchi wasio na choose bora na salaama.bnafc najiuliza HV kwa mazingira ya kjjn MTU inawezekana akawa na choose bora na salama wakati nyumba anayoishi ni ya nyasi?.pili,unawapiga faini wananchi wakati gvt ya kjj haina hats choo kabisa.tatu,HV Luna sheria yoyote waliyovunja mpaka wapigwe faini?.nahtaji majibu wakuu ya kitaaluma,na walengwa waanze kufuatilia.mbaya zaidi pato lote wamegawana mtendaji na wahuni hao.
 
Mara baada ya kuweka uzi wa tuhuma nzito kwa Deo Mwanyika,wengi wamenikashfu sana badala ya kutaka nithibitishe,mwaka 2007 wakati wa mgomo wa wafanyakazi wa BARRICK BULYANHULU,Mwanyika kupitia kituo cha runinga cha ITV,kwa makusudi kabisa huku akijua anaongea uongo mbele za Mungu na taifa lote,alidanganya akisema mgomo huo umetokana na wafanyakazi kutaka wawe wanapewa nafasi kwenye ndege ya DASH 8,wakati uwezo wa ndege ni abiria 30 na wao wapo zaidi ya elfu,mishahara yao ni mikubwa mno,kima cha chini ni sh mil 1.8,naami wapo wenye kumbukumbu waliomuona,leo hii akifuatwa kuhojiwa na chombo chochote cha habari ni lazima atadanganya,nina salary slips za wafanyakazi za tangu mwaka 2001 hadi leo,Bynercut imepewa maeneo ya uchimbaji ya Barrick na sasa wafanyakazi wengi wa Barrick(underground mining) wanataka kupunguzwa kazi kinyume cha sheria ya kazi ya kuvunja mkataba,anayepinga jamani hajui,mi siyo chizi wa kuleta uzi wa kufikirika kama baadhi mnavyonituhumu,I'm a private agent,kwa maslahi ya taifa langu.
Ah,Mwanyika!Hata siku moja sijawahi kudhani kwamba yupo Bulyankulu kwa maslahi yake binafsi na taifa,kwa hiyo asingeweza pia kuwatetea wafanyakazi wa mgodi.I have always believed he is there for his own benefit and the Thorntons.Nikiri kwamba tuhuma hizi zimechelewa sana,ameshaliletea taifa letu damage kubwa mno.Nitashangaa kama wanasheria wetu watashindwa kum-convict.Hata hivyo it's better late than never.
 
Waungwana nahitaji elimu kwa hili la kjj cha rupota w nachingwea.mtendaji Wa kjj kwa ushirika Wa wahuni ambao not wajumbe s/kjj ,wamewapiga faini ya tshs 25000/ wananchi wasio na choose bora na salaama.bnafc najiuliza HV kwa mazingira ya kjjn MTU inawezekana akawa na choose bora na salama wakati nyumba anayoishi ni ya nyasi?.pili,unawapiga faini wananchi wakati gvt ya kjj haina hats choo kabisa.tatu,HV Luna sheria yoyote waliyovunja mpaka wapigwe faini?.nahtaji majibu wakuu ya kitaaluma,na walengwa waanze kufuatilia.mbaya zaidi pato lote wamegawana mtendaji na wahuni hao.
Dah!kwa huu uharo uliomwaga hapa,kwa kweli unahitaji choo bora na salama.
 
Back
Top Bottom