PintoG
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 612
- 732
Mara nyingi sana nimekuwa nikisikia, hasa kwenye maisha ya familia zenye uwezo wa chini sana, na hata kati, familia ambazo pia wazazi wana elimu ya chini ama wastani na mara chache kwa familia za daraja la kwanza.
Na hii mara nyingi ni kwa wakina mama, utasikia mama anamtukana mwanae anapokosea na kumuita majina kama.....
wewe mbwaa
wewe kenge,
wewe nguchilo na majina mengine mengi ya wanyama na vitu visivyofaaa.
Swala la kujiuliza hapa, kwa nini mzazi amtukane mwanae mbwa? Ina maana hata mzazi ni mbwa maana ndo kamzaa.
Lakini Je, style hii ya malezi ya kutukana sana watoto ina msaada katika makuzi bora?
kwenu wajuzi wa mambo.