Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

Kwa Nini Mo Dewiji haendi misibani?

Makosa mnayoyafanya au tunayoyafanya sisi watu weusi ni kuona wahindi, waarabu na wazungu ni ndugu zetu wakati ukweli ni kwamba wao wanatuona sio ndugu zao huo ndio ukweli mchungu, Mtu mweupe hata awe rafiki yako wa karibu sana jua tu moyoni kwake hana undugu na wewe na moyoni kwake wewe upo tu kama binadamu mweusi..

Waafrica tujitahidi kupendana wenyewe na kujenga mataifa yetu tuache ubinafsi na ujinga wetu ili tujenge heshima yetu hapa duniani. Dunia haiwezi kuheshimu mpumbavu hata siku moja na hivyo ndivyo Waafrica tunavyochukuliwa na Dunia, Kujitoa kwenye upumbavu na kujenga heshima ni kujenga Mataifa yetu ya Africa na kuacha mambo ya kipumbavu yanayofanya Africa kuwa Masikini..
 
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
Mo huwa anahudhuria misiba ile inayomhusu tu.... kama miye M-Mbabe hapa.

msiba wa Ruge sikuhudhuria
msiba wa Kibonde sikuhudhuria
msiba wa Mengi sikuhudhuria
nk, nk.

lakini nimehudhuria misiba mingine mingi tu katika kipindi hicho hicho.
 
Huyu jamaa haonekani misibani kwa nini? Sio tu kuzika hata kwenda kuhani?
Anaona kuwa karibu na wanasimba ndio kila kitu mpaka anaisahau jamii ingne?
Au masharti ya wataalamu wake
Manji naona huwa mnaenda nae misibani wewe mwanaYanga.
 
Back
Top Bottom