Si JK na washkaji zake pia walimwondolea ulinzi JAJI MKUU MSTAAFU? Ulisahau Mpwa hadi mheshimiwa Augustino Ramadhani akaamua kuwaeleza na akatumia neno hili "kama jambo hili limetendeka kwangu, hali ikoje kwa watu wa kawaida (akimaanisha non-public figures)? Leo tena kwa Mkapa, haya yatamkuta na yeye pia au ataishia kule aliko Prof. Bukenya!