sikiolakufa
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 411
- 54
Wanajamii nimeshangazwa na serikali ya awamu ya nne kutokutoa ulinzi stahiki kwa rais mstaafu mheshimiwa mzee Mkapa...kila nimwonapo anakuwa na escort ya rider mmoja( pikipiki) gari yake akiwemo yeye na boardguard wake na nyuma yake kuna gari mmoja ya usalama wa taifa ikiwa na dereva tu...je hii ni halali ? kwa nini kikwete ana dharau hivi?