Kwa nini mkapa analindwa na mlinzi mmoja tu?

sikiolakufa

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
411
54
Wanajamii nimeshangazwa na serikali ya awamu ya nne kutokutoa ulinzi stahiki kwa rais mstaafu mheshimiwa mzee Mkapa...kila nimwonapo anakuwa na escort ya rider mmoja( pikipiki) gari yake akiwemo yeye na boardguard wake na nyuma yake kuna gari mmoja ya usalama wa taifa ikiwa na dereva tu...je hii ni halali ? kwa nini kikwete ana dharau hivi?
 
Ulitaka awe na magari mangapi kwa kodi ya nani ? Mkapa ana faida gani sasa na kabla alikuwa na faida gani ? Ulinzi wako wewe na mali zako na wazee wako vipi hadi uangalie wa mwingine tena wa gharama zetu sisi ? Kwangu mimi sioni hata sababu ya kumpa heshima maana hastahili ila huko CCM ambako wana mrija wao wa kutunyonya .
 
Si JK na washkaji zake pia walimwondolea ulinzi JAJI MKUU MSTAAFU? Ulisahau Mpwa hadi mheshimiwa Augustino Ramadhani akaamua kuwaeleza na akatumia neno hili "kama jambo hili limetendeka kwangu, hali ikoje kwa watu wa kawaida (akimaanisha non-public figures)? Leo tena kwa Mkapa, haya yatamkuta na yeye pia au ataishia kule aliko Prof. Bukenya!
 
Ulitaka awe na magari mangapi kwa kodi ya nani ? Mkapa ana faida gani sasa na kabla alikuwa na faida gani ? Ulinzi wako wewe na mali zako na wazee wako vipi hadi uangalie wa mwingine tena wa gharama zetu sisi ? Kwangu mimi sioni hata sababu ya kumpa heshima maana hastahili ila huko CCM ambako wana mrija wao wa kutunyonya .
Sisi tunajua kwanini nyie CDM mnampiga vita huyu mzee. Ya igunga yamepita, tuangalie yajayo.
 
Wanajamii nimeshangazwa na serikali ya awamu ya nne kutokutoa ulinzi stahiki kwa rais mstaafu mheshimiwa mzee Mkapa...kila nimwonapo anakuwa na escort ya rider mmoja( pikipiki) gari yake akiwemo yeye na boardguard wake na nyuma yake kuna gari mmoja ya usalama wa taifa ikiwa na dereva tu...je hii ni halali ? kwa nini kikwete ana dharau hivi?

Watusaidie wajuao utaratibu wa usalama juu ya Rais mstaafu anatakiwa kuwa na msafara wa size gani.

Mie naamini suala la risk iliyopo aendako inatakiwa kuwa moja ya vigezo ktk kuamua ulinzi uwe mkubwa kiasi gani! Kama inafahamika hakuna chance ya hatari uendako kwanini wakupe jeshi zima kukusindikiza?
 
Who cares about Fisadi Mkapa? unataka awe bado anatafuna Kodi zetu tusizozifaidi? Asubirie siku tutakapo pata Uhuru LAZIMA tummburuze Mahakamani akajibu ujinga wake wa Kuuza Ardhi yetu na Mikataba ya Kifisadi aliyoisaini yeye na Wajinga wenzake, Pumbafffffu yake
 
Sisi tunajua kwanini nyie CDM mnampiga vita huyu mzee. Ya igunga yamepita, tuangalie yajayo.

Huu ni uharo au ni utumbo!!!?,Chadema inaingia vipi hapo!?Acha chuki binafsi,mtoto wa kiume na tabia za kike haipendezi.
 
Wanajamii nimeshangazwa na serikali ya awamu ya nne kutokutoa ulinzi stahiki kwa rais mstaafu mheshimiwa mzee Mkapa...kila nimwonapo anakuwa na escort ya rider mmoja( pikipiki) gari yake akiwemo yeye na boardguard wake na nyuma yake kuna gari mmoja ya usalama wa taifa ikiwa na dereva tu...je hii ni halali ? kwa nini kikwete ana dharau hivi?

Nikuambie yafuatayo:

1. Hakuna tishio la usalama wake (unless kuna kitu unakipanga dhidi yake)

2. Hujui taratibu za utoaji wa walinzi kwa wastaafu na ulipaswa kufanya uchunguzi wa hilo na kujiuliza kama hali iko tofauti wa predecessor wake

3. Suala la ulizni na idadi ya walinzi halipangwi na rais aliyepo madarakani. Shutuma zako kwa Kikwete ni muendelezo wa umbumbumbu na chuki zako dhidi yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom