duu hi yako mkuuu!mji ambao unaongoza kwa hospitali nyingi za wazazi
mkuu mbeya zipo 4, hospital ya teule, meta, tukuyu na nyingine inajengwa kyela.duu hi yako mkuuu!
kweli mkuu!mkuu mbeya zipo 4, hospital ya teule, meta, tukuyu na nyingine inajengwa kyela.
Ashadii, hiyo number 4 inamaanisha upinzani waongeze nguvu kule
It is too late for CCM Mbeya... walishaipoteza siku nyingi... Kuna jimbo moja jamaa (CDM) alisimama dhidi ya msomi (CCM) Wananchi hawaangalii wagombea wamejinadi vipi - wao wanaangalia tu jina la chama. Results zilipotoka wa CDM alishinda... alipopelekewa taarifa ilikua kwa simu na bahati nzuri wakati huo nilikua huko Mkoani hivo nilishuhudia.... Akauliza "nimeambiwa nimeshinda Udiwani" natakiwa nifanyeje?? Imagine.....
Ahsante AshaDii, ndiyo maana nakupendaga
- Mji ambao unaongoza kwa ujenzi hadi korokoloni anajenga nyumba nzuri kabisa Mbeya.
- Mji moja wapo ambao unaongoza kwa wanawake kujituma ki-Biashara, hata ana mtoto wa week kadhaa kabeba mtoto mgongoni na ndizi zake kwichwani akipitisha kwa mia mia...
- Mji moja wapo unaongoza kwa abundant food products thru out the year..
- Mji pekee watu wake walithubutu kuonesha "chuki" ya wazi walo nayo dhidi ya JK kwa kupiga mawe msafara wake.. Pale wangekosea kidogo JK would have been history for sio wavivu....