Kwa nini Masterplan za Arusha, Mwanza, Dodoma na Dar zinafanywa siri na wanasiasa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini Masterplan za Arusha, Mwanza, Dodoma na Dar zinafanywa siri na wanasiasa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Game Theory, Feb 1, 2012.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Nadhani mshajua kwa nini hawataki kuweka website ya BRELA iwe open...kwa sababu tutajua ma director wa makampuni uchwara ni akina nani

  sasa jiulizeni kwa nini wanaficha masterplans za miji yetu wakati majirani wanawashirikisha wananchi kwenye mipango yao ya maendeleo?

  Tazama Masterplan ya Kigali


  [​IMG]
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,273
  Likes Received: 12,989
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni uchwara
   
 3. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii itakuwa picha tu masterplan ni kitabu' pia ndugu Master plan siku hizi hazifanyi kazi kwan utekelezaji wake ni wa muda mrefu zaidi ya miaka 40! Sasa hv kuna kitu kinaitwa Stretagic urban development plan(SURDP) Ambazo hapa kwetu haziandaliwi sana!
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Huo mchoro wake unaweza kuwa unaonyesha Strategic Urban Development Plan ya Kigali CBD, hizi Plan hapa TZA nadhani hazipo kabisa hasa kwasababu ya ukosefu wa wataalam wazuri na mipango endelevu ya aridhi, ila katika ule mpango wa kigamboni walitengeneza mipango na michoro yake yote.

  Hata hivyo sijui kwanini anasema master plan ni siri! sijui nani kamwambi ni siri? au kila husilo lijuwa ni siri?
   
Loading...