Kwa Nini Marekani Duniani?

yaani mada na ulivyochora apa tofauti ivi kutengeneza AIDS NA EBOLA UNAONA MAZURI AFU BADO UNAMSHANGILIA MMAREKANI.
According to the Muhammad's holy book/hadith. It is Allah who created diseases and sickness.

Imam Ahmad narrated that Usamah bin Shuraik said:
"I was with Prophet Muhammad Sallallaho Alaihe Wasallam when the Bedouins came to him and said, ‘O Messenger of Allah, should we seek medicine? He said, ‘Yes, O slaves of Allah, seek medicine, for Allah has not Created a disease except that He Has Created its cure, except for one illness.' They said. ‘And what is that?' He said, Old age".

In addition, it is related in the Al Masnad (by Irnam Ahmad) that Prophet Muhammad Sallallaho Alaihe Wasallam said:

"Allah has not Sent down a disease except that He Sent down its cure; whoever knows it (the cure), knows it, and whoever is unaware of it (the cure), ha is unaware of it (the medicine), while those who are ignorant of it are unaware of it." [Al-Nasaii, Ibn Majah, Al-Hakim and Ibn Hibban].

It is Allah of Islam who created AIDS and Ebola, this is according to the annexed sahih hadith.
 

 

Hapo umenena mkuu.Na china hataweza kwasababu china na marekani wanatekemeana kiuchumi ni kama kama nyani na ngedere,pia China na EU wanategemeana.Kingine china hataweza kuitawala dunia kwani hana rasilimali za kutosha(mali ya asili, inaelekea kwisha marekani hajavuna na inasadikika anamafuta , gesi na makaa ya mawe kibao na marekani anasubiri wengine waishiwe).China ana influence kwenye biashara na si uchumi kwa sasa pato la mtu mmoja nchini china wa kipato cha wastani ni kama $6000 kwa mwaka, kwa mmarekani ni kama $50,000 kwa mwaka.Halafu china hana winning multinational corporations the like of boeing,cocacola,cartepillar,pfizer , apple,microsoft, oracle, google,walmart,mcdonalds,dell,yahoo,IBM,chrysler,ford,tesla etc,ambazo zinabeba uchumi, pia marekani anamiliki dhahabu nyingi,hisa nyingi katika worldbank,IMF,Asian development bank.Kingine wamarekani wana nguvu kwasababu ya demokarasia yao na uhuru wa mwananchi, hivyo inawapelekea kuwa wabunifu wa bidhaa na huduma mpya.China ni copy and paste.Viwanda vingi vikubwa na vya maana vilivyoko china ni vya wamarekani, wajapani na wayuropa.Big company katika china (kidogo multinational ni Huawei na kwa umbali alibaba, na labda China petroleum).Kingine ile uwe super power unahitaji marafiki wa kweli, china hana, unahitaji kuinfluence( leadership) na kuwa wa kwanza kutake risk, na pia kuintegrate uchumi na jeshi.Angalia bajeti ya jeshi ya marekani ni kama $600 billioni kwa mwaka ya china ni kama $100 billioni kwa mwaka .Marekani inatenga asilimia ishirini ya pato la taifa kusaidia na kutoa misaada katika mashirika ya kimataifa kama WHO, UNCEF,etc, china hana kitu kama hicho.Kuna mambo mengi sana,Marekani kuanguka kama dola si leo wala kesho,yeye anatawala kwa ideology, innovation na technology.Urusi hataweza kwani ni kubwa jinga, bora hata china anajitahidi kutambaa.Kingine ni kwamba marekani ni dunia ambayo imekusanya watu wa dunia yote hasa wenye akili mfano kati ya vyuo kumi bora duniani vyuo saba ni vya marekani( havard, stanford,MIT,Boston,Yale,etc), ukija kwenye Nobel Prize ndio kabisa.Kingine ni kwamba ni moja ya mataifa ambayo pia yamebarikiwa kwa sababu ya kuwapokea na kuwapigania wayahudi(waisrael),katika maandiko ya Mungu katika biblia(tafuta aya) yanasema kwamba atakaye watetea na kuwapigania waisrael atabarikiwa na atakaye wachukia waisrael atalaaniwa.Labda ndiyo maana baada ya Nyerere kufunga Ubalozi wa Israel na Kutukuza wapalestina, Mungu ametulaani na hatueleweki!Ubalozi wa Israel urudi ili mambo yaende shwari.
Mwisho: jumla ya kipato au hifadhi ya pesa ya wamarekani wote= (uchumi wa china +Uchumi wa india) x2, maana yake ni kwamba uchumi wa marekani hutegemea kuendesha uchumi wake kwa kuuza vitu kutoka viwandani kama china, uchumi wa china unategemea viwanda kwa zaidi ya %80 ambacho ni kitu hatari uchumi wake si stable.Technological and service economy ni zaidi ya $70 ndiyo inawabeba wamerekani , huku wakitegemea chini ya %30 kuuza vitu nje.
Marekani ni super power kwasababu ya: uchumi, military, technology,leadership, stable and unified country, consistent and predictable, you can count on her, a guarantor of world peace , stability and prosperity.
 

Hapo umenena mkuu,Na china hataweza kwasababu china na marekani wanatekemeana kiuchumi ni kama wako kama nyani na ngedere,pia china na eu wanategemeana.Kingine china hata weza kuitawala dunia kwani hana rasilimali za kutosha(mali ya asili, inaelekea kwisha).China ana influence kwenye biashara na si uchumi kwa sasa pato la mtu mmoja nchini china wa kipato cha wastani ni $6000 kwa mwaka, kwa mmarekani ni $50,000 kwa mwaka.Halafu china hana winning multinational corporations the like of boeing,cocacola,cartepillar,pfizer , apple,microsoft, oracle, google,walmart,mcdonalds etc,ambazo zinabeba uchumi, pia marekani anamiliki dhahabu nyingi,hisa nyingi katika worldbank,IMF,Asian development bank.Kingine wamarekani wana nguvu kwasababu ya demokarasia yao na uhuru wa mwananchi, hivyo inawapelekea kuwa wabunifu wa bidhaa na huduma mpya.China ni copy and paste.Viwanda vingi vikubwa na vya maana vilivyoko china ni vya wamarekani, wajapani na wayuropa.Big company katika china (kidogo multinational ni Huawei na kwa umbali alibaba, na labda China petroleum).Kingine ile uwe super power unahitaji marafiki wa kweli, china hana, unahitaji kuinfluence( leadership) na kuwa wa kwanza kutake risk, na pia kuintegrate uchumi na jeshi.Angalia bajeti ya jeshi ya marekani $600 billioni ya china $100 billioni.Marekani inatenga asilimia isshirini ya pato la taifa kusaidia na kutoa misaada katika mashirika ya kimataifa kama WHO, UNCEF,etc, china hana kitu kama hicho.Kuna mambo mengi sana,Marekani kuanguka kama dola si leo wala kesho,yeye anatawala kwa ideology, innovation na technology.Urusi hataweza kwani ni kubwa jinga, bora hata china anajitahidi kutambaa.Kingine ni kwamba marekani ni dunia ambayo imekusanya watu wa dunia yote hasa wenye akili mfano kati ya vyuo kumi bora duniani vyuo saba ni vya marekani( havard, stanford,MIT,Boston,Yale,etc), ukija kwenye Nobel Prize ndio kabisa.Kingine ni kwamba ni moja ya mataifa ambayo pia yamebarikiwa kwa sababu ya kuwapokea na kuwapigania wayahudi(waisrael),katika maandiko ya Mungu katika biblia(tafuta aya) yanasema kwamba atakaye watetea na kuwapigania waisrael atabarikiwa na atakaye wachukia waisrael atalaaniwa.Labda ndiyo maana baada ya Nyerere kufunga Ubalozi wa Israel na Kutukuza wapalestina, Mungu ametulaani na hatueleweki!Ubalozi wa Israel urudi ili mambo yaende shwari.
 

Kengele na sio kengere
 
Woote mliochangia mna CHUKI na uislamu lakn ndo hivyo hamuwezi kuufuta! Mnamtetea Muamerika pasina kujua mambo yalivyoo! Naam.. Mnasukumwa na Hisiaa! C akili zenu

Mmezidi kuwa makatili jamani acheni tuwape makavu live...watu gani nyie kidogo mnataka kuchinja,kujiua au kujilipua yaani mna roho ngumu sana nyie dah...yaani kidogo tu mshaanzisha zogo...yaani hamna upendo kabisa na najua hapa ninavyokwambia hivi unatamani ungenilipua na bomu la kujitoa muhanga.
 
Waafrika tatizo kubwa ni kujitambua na elimu, kama una akili timamu huwezi kumpenda mmarekani
1.mtu ambaye anataka akutawale milele na huku kwake akiwabagua blacks waziwazu
2.amefikia hatua anakwambia sikupi hela hadi uhalalishe ushoga

Ishmael wewe ni mpmbavu na hujitambui, grow up na jaribu kutafuta elimu.
Salute to mugabe , putin ,president of china , north korea , ghaddaffi and other brave soldiers.
 

Asante sanaaaaa
 

Waambie hawa hawajajua tu wapi HIV,EBOLA inatoka au imetengenezwa na kwa ajili ya kummaliza nani kama si MTU mweusi halafu wanashabikia taifa la wauaji.
 
Vipi Utajiri Wa Marekan Na Libya Nani Uko Juu?
 

Nitashangaa kama Haiti muunga mkono America wakati imani ya dini unayo abudu katengeneza hehe!!!. Unahaki ya kuwaza mpaka ulipo fundishwa maana akili za kafiri ni malachache kuwaza nje ya Yale aliyo karilishwa.
 
marekani hana tofauti yoyote na ccm labda tofauti ya rangi
 
kwa hizi comments za uzi huu hata mmarekani akizisoma atatushangaa waafrika !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…