Kwa nini Madagascar?

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,163
37,801
Madagascar.
Kwa nini Madagascar?
Viongozi kutoka nchi za Africa tunazojua ni soccer giants mf. Cameroun, Nigeria, Egypt, Senegal au and Ivory coast nini kimewakumba?

Katika ramani ya soccer la Africa, hawa Madagascar wameyafanya yepi mpaka tukavisha jukumu kupitia mtu wao?

Wajuzi mtukuze. Huwa Ahmad wa Madagascar amewezaje kupenya?
 
Japokuwa issa hayatou alikuwa mcameroon nadhani alitakiwa tu kuondolewa na genge lake maana alikosa ubunifu wa kuendesha shirikisho.
Mwisho kuanguka kwa genge LA sepp Blatter ilipunguza harakati zake za kujitanua maana walikuwa ndege wanaofanana
 
Back
Top Bottom