kwa nini ma bar maid wengi ni mabonge!

kwa nini ma bar maid wengi ni mabonge!

King2

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
1,277
Reaction score
182
au kwa sababu ya kugongea michemsho na bia za bure
 
kwasaabu vimbaumbau vina akili san ahaviwezi kuwa mabar maid
 
duh! leo nilikuwa bar kila bar medi akipita bonge nyanya
 
Arusha kuna baa moja iko maeneo ya mianzini inaitwa ------ baa..inajaa so mchezo..kisa watu wanataka kwenda kushangaa hayo makalio..si unajua stimu ikipanda maamuzi huwa mepesi mepesi.
 
Arusha kuna baa moja iko maeneo ya mianzini inaitwa ------ baa..inajaa so mchezo..kisa watu wanataka kwenda kushangaa hayo makalio..si unajua stimu ikipanda maamuzi huwa mepesi mepesi.

dUUh.!!..umesha hamisha mada...kweli wabongo kwa ku foward mambo tu hatujambo.!
 
Hii inanikumbusha vyuon kuna baadhi ya kozi ina wasichana waremboo kuliko kozi zingine cijui inakuwaje mfano, Engineer na Socialogy au A-level PCM na HGL...
 
Uzembe wao kujiachia na kudoea bia,michemsho ya bure na kuridhika kupita kiasi...ukikaa karibu na uaridi lazima unukie
 
au kwa sababu ya kugongea michemsho na bia za bure

Sasa unadhani amekaa mezani kwako wakati unapata kimboga ulichoagiza si unamkaribisha? Jumlisha wateja wangapi wanamkaribisha na KUKUBALI KUONJA TUU?

Sio utani-nipo bar sasa hivi naona barmaid ana-shea mboga na mteja🙂
 
Back
Top Bottom