Kwa nini Lissu alidanganya bunge?

Kwa nini Lissu alidanganya bunge?

Tundu lisu alitoa ufafanuzi wakati kuchangia mswada wa marekebisho ya katibu mjini dodoma juzi na kudai kuwa mswada huo umekuwa wa upande mmoja hasa kwa kutoshirikishwa kwa wadau kadhaa,
Lakini lisu hakuweka wazi hao wadau anaowasema yeye ni akina nani au kunawadau wa chadema au wa lisu pakee ambao hawakushirikishwa?

Uncle Deo, mbona unatia aibu kujifanya unajua Mhe. Lissu alisema nini wakati hujui? Ama mbona unajitia uzu.zu kujifanya hujui Mhe. Lissu alisema nini wakati unajua?

Katika maelezo yake, Mhe Lissu, alitaja kwa majina na uwazi ni TAASISI gani Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kwa mujibu wa ratiba ya kwanza ba ya pili walipaswa kukutana nazo. Katika kielelezo cha pili ambayo ilikuwa ni ratiba iliyokuwa updated, Lissu akitaja taasisi walizopaswa kukutana nazo ikiwa ni pamoja na ;
1. Ofisi ya Rais, Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar.
2. Zanzibar Election Committee
3. Zanzibar Law Society
4. Chuo Kikuu cha Zanzibar
5. .......................
6. .........................
7. .........................
8. ........................

Suala jingine, halikuwa jukumu la Kamati kuwaita waje huku bara, Kamati ilitakiwa kwenda kule kuchukua maoni.

Unapozungumzia siasa za Zanzibar, JAHAZI ASILIA na ADC, je ndiyo vyama pekee vya siasa huko?
 
Last edited by a moderator:
Tundu lisu alitoa ufafanuzi wakati kuchangia mswada wa marekebisho ya katibu mjini dodoma juzi na kudai kuwa mswada huo umekuwa wa upande mmoja hasa kwa kutoshirikishwa kwa wadau kadhaa,
Lakini lisu hakuweka wazi hao wadau anaowasema yeye ni akina nani au kunawadau wa chadema au wa lisu pakee ambao hawakushirikishwa?
Soma gazeti la mwananchi. wwww.mwananchi.com

Chana na Makamu Mwenyekiti, William Ngeleja walikwenda kumwona Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah na kumweleza azma yao ya kwenda kuzungumza na wadau wa Zanzibar.

“Katibu akatwambia kwamba yeye ana fedha za kutuwezesha kukaa Zanzibar hata wiki moja, kwa hiyo tukarudi kwenye kamati tukatengeneza ratiba mpya na tukaongeza wadau sita wa Tanganyika na Wazanzibari wanane,” alisema Lissu.

Aliwataja wadau hao kuwa ni Chuo cha Taifa Zanzibar, Chuo Kikuu cha Zanzibar, Chama cha Mawakili Zanzibar, Chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar, Chama cha Walemavu Zanzibar na Profesa Abdul Shariff.

Wadau wengine walikuwa ni Shirikisho la Vyama visivyo vya Kiserikali Zanzibar (Angoza) na Jumuiya ya Misikiti Zanzibar na Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, lakini hatukuwahi kukutana nao na kupokea maoni yao.

“Tukakubaliana kuwa tutakaa Zanzibar kwa siku tatu kuanzia Julai 14 hadi Julai 16 mpaka leo hatujawahi kuambiwa kwa nini tulizuiwa kwenda Zanzibar, lakini maneno yaliyokuwa yakisikika eti kwa sababu za kiusalama,” alisema.

Lissu alisema wakati kamati yao ikiambiwa haiwezi kwenda Zanzibar kwa sababu za kiusalama, wajumbe wa Kamati ya Ulinzi ya Bunge hilo ilikuwa Pemba ikiendelea na ziara zake.
 
Tundu lisu alitoa ufafanuzi wakati kuchangia mswada wa marekebisho ya katibu mjini dodoma juzi na kudai kuwa mswada huo umekuwa wa upande mmoja hasa kwa kutoshirikishwa kwa wadau kadhaa,
Lakini lisu hakuweka wazi hao wadau anaowasema yeye ni akina nani au kunawadau wa chadema au wa lisu pakee ambao hawakushirikishwa?

Naona mmeanzisha uzi wenu wa kuja kupotosha wananchi kuhusu ukusanyaji wenu wa maoni huko Znz. Ni hivi hata mje wana CCM wote hapa nchini kuja kupotosha tumeshawastukia kwamba hamna dhamira ya dhati ya katiba mpya maana mnajua mnatawala kwa hila hivyo mnajitahidi muandike katiba ya wanaccm itakayowabakiza madarakani ili mueendelee kula rasilmali za nchi. Tutawatoa madarakani kwa box la kura hapo ndipo tutaandika katiba bora penda msipende. Tunawaomba Watanzania wote wenye dhamira ya dhati tuungane pamoja kuleta katiba mpya na bora. Viva vyama vya Cdm, Cuf, NCCR-mageuzi kwa kuungana naomba muendelezo uwe huu huu na tutoe somo kwa wananchi waujue ukweli.
 
hivi tunaposema wadau tuna maana gani? mie nadhan katika hili, wadau muhimu ni serikali zote mbili na bunge pamoja na baraza la wawakilishi. Lisu alijichanganya sana. alijua ni ukusanyaji wa maoni

Ndugu yangu Tunatunga Katiba. Ya Watanzani na sio Serekali wala Bunge, Kwanini hamuelewi nyinyi watu.
 
Ni kweli wadau ni pamoja na serikali ya zanzibar na Tanganyika a.k.a tanzania bara,kumbuka serikali ya zanzibar ni ccm na cuf hivyo bila kuwashirikisha cuf ni batili
hivi tunaposema wadau tuna maana gani? mie nadhan katika hili, wadau muhimu ni serikali zote mbili na bunge pamoja na baraza la wawakilishi. Lisu alijichanganya sana. alijua ni ukusanyaji wa maoni
 
Adamu malima alisema siku ile kuwa lisu aidha ninmnafiki au anaumwa kwa mtu wa kawaida hawezi kuwa vile alivyo lisu hata maandiko ya mungu yapo.
 
Mbona ZEC Attoney General na wengine zanzibar wamethibitisha kuwa wameshirikishwa kikamilifu?
 
Maoni ya wananchi siyo ya chama Cha siasa Pekee,ujue watu wengine siyo wana siasa hawana vyama,ilitakiwa wawashirikishe taasisi,mfano vyuo vikuu,ngos,mashirika ya dini mbalimbali,huo ndio ushirikishwaji Wa wananchi na siyo walivofanya kwenda ikulu na chama Cha jahazi,ni uhuni mtupu na ujanja Wa ccm kutaka kuiteka katiba.
 
Uncle Deo
Umekuwa na hulka ya kujidhalilisha na kulidhaliisha jukwaa hili kwa post zako nyingi zinazoenda kwa ushabiki, umbumbumbu na sitofahau....., Tafadhali azima busara na hekima toka kwa mungu ujivishe utanzania sio ushabiki wa kwa ccm na kufanya mambo kama mfungwa akili huru.

a) Unauhakikagani kwamba data na maelezo ya ccm na pindi chana siyo ya kupindapinda na kuwahadaa watanzania?

b) Nani amethibitisha kwamba kati ya CCM, Pindi Chana na Lukuvi sio waongo? Uncle Deo umefanya utafiti wowote? thibitisha....

Marangapi CCM na dola yake imewahaada watanzania kupitia viongozi wake wa juu? mfano:-

1. Pinda Kulidanya bunge na watanzania kuhusu mgogoro wa vurugu za Arusha Polisi na chadema.....

2. Kikwete maisha bora kwa kila mtanzania ....... yamekuwa maisha duni kwelikweli kwa kila mtanzania...

3. Chagonja mwangosi ameuwawa na wafuasi wa chadema, picha zikamuumbuwa, hakujuwa kama kuna picha za wauwaji....

4. Kikwete, Lowasa na basili mramba ni majembe......Kama ni majembe mbona kavuliwa uwaziri mkuu na maramba anakesi ya uhujumu uchumi????

Nyinyi mliohitimu na kufuzu Elimu chini ya kawambwa na Mulugo mnatuabisha sana watanzania na kutufanya tuonekane

Taifa la mazezeta tusioweza kujipanga kwa lugha moja kutetea maslahi ya Taifa na watanzania kwa kauli moja.
Mkuu unataka uthibitisho gani zaid ya ile tarifa rasmi ilisomwa bungeni iliyotoka serikli ya mapinduzi zanzibar,

Wewe unataka kutuambia uthibitisho mzuri ni ule anaotoa lisu au chadema sijui unaakili gani yenye matege kiasi hicho,

Uthibitisho mwingine alitoa ag na lukuvi na lisu hajaukanusha mpaka leo sasa wewe unaongea nini tatizo lenu mnajifanya nyienndiyo mko sahihi peke yenu au ndo mnajua zaidi kumbe nikujidanganya maranyingine,

Lisu hajaanza leo uongo amekuwa na tabia ya kuongea kwa kelele nyingi bila data kumbe ni uongo mtupu.
 
Hata Zanzibar ni wadau wa hiyo katiba, je walishirikishwa?
Tundu lisu alitoa ufafanuzi wakati kuchangia mswada wa marekebisho ya katibu mjini dodoma juzi na kudai kuwa mswada huo umekuwa wa upande mmoja hasa kwa kutoshirikishwa kwa wadau kadhaa,
Lakini lisu hakuweka wazi hao wadau anaowasema yeye ni akina nani au kunawadau wa chadema au wa lisu pakee ambao hawakushirikishwa?
 
CCM ni mfano mzuri wa chama tapeli Duniani.

Tundu lisu alitoa ufafanuzi wakati kuchangia mswada wa marekebisho ya katibu mjini dodoma juzi na kudai kuwa mswada huo umekuwa wa upande mmoja hasa kwa kutoshirikishwa kwa wadau kadhaa,
Lakini lisu hakuweka wazi hao wadau anaowasema yeye ni akina nani au kunawadau wa chadema au wa lisu pakee ambao hawakushirikishwa?
 
Hivi kusema uongo au kulidanganya bunge si kuna adhabu yake? Lissu kapewa adhabu gani? Hebu nijibu hapa ili twende sawa maana mnanichanganya sana
Mkuu unataka uthibitisho gani zaid ya ile tarifa rasmi ilisomwa bungeni iliyotoka serikli ya mapinduzi zanzibar,

Wewe unataka kutuambia uthibitisho mzuri ni ule anaotoa lisu au chadema sijui unaakili gani yenye matege kiasi hicho,

Uthibitisho mwingine alitoa ag na lukuvi na lisu hajaukanusha mpaka leo sasa wewe unaongea nini tatizo lenu mnajifanya nyienndiyo mko sahihi peke yenu au ndo mnajua zaidi kumbe nikujidanganya maranyingine,

Lisu hajaanza leo uongo amekuwa na tabia ya kuongea kwa kelele nyingi bila data kumbe ni uongo mtupu.
 
Soma gazeti la mwananchi. wwww.mwananchi.com

Chana na Makamu Mwenyekiti, William Ngeleja walikwenda kumwona Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah na kumweleza azma yao ya kwenda kuzungumza na wadau wa Zanzibar.

"Katibu akatwambia kwamba yeye ana fedha za kutuwezesha kukaa Zanzibar hata wiki moja, kwa hiyo tukarudi kwenye kamati tukatengeneza ratiba mpya na tukaongeza wadau sita wa Tanganyika na Wazanzibari wanane," alisema Lissu.

Aliwataja wadau hao kuwa ni Chuo cha Taifa Zanzibar, Chuo Kikuu cha Zanzibar, Chama cha Mawakili Zanzibar, Chama cha Wanasheria Wanawake Zanzibar, Chama cha Walemavu Zanzibar na Profesa Abdul Shariff.

Wadau wengine walikuwa ni Shirikisho la Vyama visivyo vya Kiserikali Zanzibar (Angoza) na Jumuiya ya Misikiti Zanzibar na Jumuiya ya Maimamu Zanzibar, lakini hatukuwahi kukutana nao na kupokea maoni yao.

"Tukakubaliana kuwa tutakaa Zanzibar kwa siku tatu kuanzia Julai 14 hadi Julai 16 mpaka leo hatujawahi kuambiwa kwa nini tulizuiwa kwenda Zanzibar, lakini maneno yaliyokuwa yakisikika eti kwa sababu za kiusalama," alisema.

Lissu alisema wakati kamati yao ikiambiwa haiwezi kwenda Zanzibar kwa sababu za kiusalama, wajumbe wa Kamati ya Ulinzi ya Bunge hilo ilikuwa Pemba ikiendelea na ziara zake.
Magazeti mnayoyalipa pesa ili yaandike mnavyotaka halafununatumia kama reference utawadanganya akina junior .
 
Kamanda, unaenda mbali sasa punguza mahaba Tundu Lissu ni binadamu unampa sifa za mitume eti Tundu Lissu, hajawahi kusema uongo, teh teh teh.

huo ndio ukweli, lissu huko bungeni hakuwai kudanganya kwenye hoja zake. kusema uongo ni fani ya ccm.
 
Tundu lisu alitoa ufafanuzi wakati kuchangia mswada wa marekebisho ya katibu mjini dodoma juzi na kudai kuwa mswada huo umekuwa wa upande mmoja hasa kwa kutoshirikishwa kwa wadau kadhaa,
Lakini lisu hakuweka wazi hao wadau anaowasema yeye ni akina nani au kunawadau wa chadema au wa lisu pakee ambao hawakushirikishwa?

Lisu naye mpenda misifa. Hukurupuka tu bila kufanya utafiti wa kina. Kalidanganya Bunge huyo.
 
Tundu Lissu, ni mnafiki kila siku anawambia Wazanzibar kuwa Zanzibar siyo nchi dogo hilo, leo anajifanya kuwatetea juzi kawambia CUF ni chama cha Zanzibar tu leo tena anajifanya kuwatetea.

Ndiyo maana CUF na CCM, Zanzibar wamemwambia atujakutuma kutusemea una agenda yako ya siri dhidi ya Zanzibar.

hao waliosema hayo si cuf bali ni wana ccm. cuf waliungana na msimamo wa lissu.

kuhusu cuf kuwa chama cha zanzibar Tundullisu alieleza wazi maana ya hilo na hata wana cuf na walio kuwa makini wali muelewa vyema.

Tundullisu anaponzwa na kusema ukweli.

Kuhusu zanzibar kutokuwa nchi na hii ni siri? hili liko wazi kabisa. Na Tundullisu alisema hayo yaliyo kweli hili kuwaimiza wa zanzibari wapiganie nchi yao.
 
hapo kadanganye bunge, je kawataja hao watu lakini wameshiriki? kiuhalisia watu wengi hawakushirikishwa, nimefanya kazi ya kuelimisha watu juu ya katiba mpya vijijini, tume ya mabadiliko haikufika huko kabisa kukusanya mawazo ya watu wa huko hasa wakulima, hawajui kutumia mitandao, posta hazipo huko wala mchakato hawaujui je watatoaje mawazo yao pengine ndo yalikuwa bora kuliko haya.
 
Wewe ndio useme Lisu alidanganya nini? si ushabiki tu kumbe na wewe wale wale mbulula tu
 
EZEKIEL MAIGE; Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!
Baada ya Jauzi jana na leo kuendelea kwa malumbano bungeni kati ya Naibu Spika,wabunge wa CCM kwa upande mmoja na Wabunge wa upinzani kwa upande wa pili wakiongozwa na CDM,wadau mbalimbali wamekuwa wakitoa maoni yao juu ya kile kilichojiri jana wakati wa kikao cha bunge la Mchana baada ya Naibu Spika kutumia Askari wa bunge kumtoa nje KUB,hali iliyopelekea tafrani kubwa sana.

Akitoa maoni yake ktk ukurasa wa Facebook,Mh Ezekiel Maige mbunge wa Msalala alisema kuwa hakuona sababu kabisa ya kufikia hapo kwani hali hiyo ingewezwa kuepushwa.

Ingewezekana kabisa kuahirishwa kwa muswada huo na kutoa nafasi kwa kamati ya katiba na sheria kwenda Zanzibar kupata maoni ya wenzetu huko.

Najuwa kuna maelezo mazuri ya kushirikishwa kwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,lakini Kikanuni baada ya muswada huo kusomwa kwa mara ya kwanza unakuwa mikononi mwa Bunge.Kamati ndio inayokusanya maoni na sio serikali.

Kwa kuwa hakuna ushahidi wa Public hearing iliyofanyika Zanzibar na kuwasikia Wazanzibari wa kawaida(nje ya serikali) basi kulikuwa na haja kabisa ya kurekebisha kasoro hiyo kwa kutoa nafasi kwa kamati kwenda Zanzibar!!

Swala la katiba ni swala kubwa hivyo ni vema zikafanyika jitihada za kutosha kuhakikisha tunakwenda pamoja(na wenzetu haswa wenye mtazamo tofauti na sisi CCM) badala ya kutumia "Wingi wetu" kwani mwisho wa safari tukienda hivi watakuwepo watakaodai kuwa katiba mpya sio yao na hivyo kuikosesha "Social legitimacy"!!

Kwa kiti (Naibu Spika) kutomsikiliza Mh Mbowe (KUB) nako kulitibua mambo bila sababu ya msingi.
Angepewa nafasi ya kusikilizwa hata kama hoja yake isingekubaliwa bado ingekuwa nafuu sana kuliko shari na aibu ya jana iliyotokea.

Tumesameheana lakini tujifunze na tujitahidi sana kwenda kwa maelewano.

Mungu ibariki Tanzania. By Ezekiel Maige mbunge wa Msalala kupitia CCM.

Ndivyo alivyoandika mh Ezekiel. Binafsi nimependa sana mada yake hii japo siamini kuwa km angekuwepo juzi na jana bungeni nae angeto maoni haya kwa chama chake.!! Nawasilisha.

Wana CCM wengi wana mahaba na chama chao yaliyopitiliza ,kiasi kwamba wanashindwa hata kujitambua,wamefikia hatua ya kuona nchi ni yao na wako radhi hata wafanye lolote kwa vile tu wako madarakani.Ila huyu nadhani ameanza kujitambua.
 
Hv mleta mada uliangalia ITV taarifa ya habari ya saa 2 usiku jana? Nina maswali 3 kwako na wote mnaoshabikia CCM CHA MFU! 1. Kwa nn chadema, cuf na nccr mageuzi walitoka ndani ya ukumbi wa bunge? 2. Kwa nn wabunge wa ccm walifurahi baada ya upinzani kutoka? 3. Je kwann cuf na nccr mageuzi wamewasaliti ccm na kujiunga na CHADEMA tofauti na ilivyo kuwa mwanzo wa ku2nga sheria zinazofanyiwa marekebisho? Jibuni maswali sihitaji maelezo!
 
Back
Top Bottom