Kwa nini lakini??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini lakini???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Comi, Jun 14, 2012.

 1. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  Mara nyingi nimekutana na wanawake wakiwa na alama ya love bite aidha shingoni,shavuni,kwenye paji la uso n.k
  hii inamaana wanaume huwa hawawapigi busu wapenzi wao? Mbona kwa wanaume si sana na sijawahi kuona, au ndio tuseme wanawake ni walaini zaidi?
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,654
  Trophy Points: 280
  Wewe mwanamke au mwanaume?Nina sababu ya kukuuliza hili,kama unaweza nijibu!
   
 3. N

  Nehondo JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 311
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Rangi inachangia pia...wanawake wengi wanangozi ya rangi moja ya karoti hahaha so lovebite kuonekana ni rahisi kuliko wanaume na rangi zao za kahawia
   
 4. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  heshima yako mkuu. nlikumiss sana ndg yangu. nakuona leo upo kwenye malavidavi ukiulizia jinsia, hahahahaaaa...!!!. mia
   
 5. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Sio love bite hiyo itakua mbu wamewatafuna au mkorogo wakati wakujisugua...
   
 6. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Wengine huwa wanang'atwa lol!
   
 7. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  inamaana huwezi kutofautisha jeraha na mbu na kiss?
   
 8. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  huwezi kuuliza swali juu ya swali au na wewe umekuwa kama wale akina ...........
   
 9. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Love bite ni kwa wanawake!
   
 10. Comi

  Comi JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 3,347
  Likes Received: 478
  Trophy Points: 180
  na kwa wanaume inaitwaje?
   
Loading...